Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

Pole sana Juma chief. Mtoto wa dadangu aliwahi kupata tatizo kama hilo baada ya kuzaliwa. Mafua si mafua, kukoroma si kukoroma ila baadaye alitibiwa. Nitafute ktk 0655138686 nikupe namba ya dadangu ili ujaribu kumuuliza alifanyaje yeye akatibu tatzo hilo
 
Fuata ushauri lakini usisahau kumpeleka kwa Dr.wa ENT usipate ana matatizo ya tonsil and adenoid yamevimba nenda kwa Daktari wa ENT pia.
nilishakwenda kwa kairuki mkuu,na dr kahumba (specialist wa ENT)ndie aliyemuattend.....akafanyiwa hicho kilichoshauriwa,lakini tatizo halijatatuka...[emoji120] ..
 
Pole sana Juma chief. Mtoto wa dadangu aliwahi kupata tatizo kama hilo baada ya kuzaliwa. Mafua si mafua, kukoroma si kukoroma ila baadaye alitibiwa. Nitafute ktk 0655138686 nikupe namba ya dadangu ili ujaribu kumuuliza alifanyaje yeye akatibu tatzo hilo
poa kaka nitakucheki....kwa msaada zaidi....[emoji120] ..
 
nilishakwenda kwa kairuki mkuu,na dr kahumba (specialist wa ENT)ndie aliyemuattend.....akafanyiwa hicho kilichoshauriwa,lakini tatizo halijatatuka...[emoji120] ..
Omba referal Muhimbili au KCMC for further check up KCMC kuna mabingwa wa ENT hata Muhimbili hope the same shida sisi tunaamini sana private.
 
W
Waungwana naombeni msaada wa ushauri juu ya tatizo la mtoto wng.
october 2016 tulimpeleka kwa kairuki mikocheni hosptl kwa specialist wa sikio,pua na koo....

Tukaambiwa anasumbuliwa na nyama za pua,akafanyiwa upasuaji mdogo,hata hivyo tangu afanyiwe huo upasuaji hatujawahi kuona nafuu huu ni mwezi wa tatu sasa....kifua na mafua havipoi kwake...

Dawa tunazopewa ni kama zinatuliza tuu,lakini sio za kuondoa tatizo la kukoa na mafua yake,yaani usiku ni shida anapumua kwa tabu na mdomo wazi....kukoroma sasa.....??...mpaka hatulali.....

Msaada kutoka jukwaa hili maoni ushauri,pengine wapi naweza kwenda kupata ufumbuzi wa tatizo hili,kiukweli mwanangu anapata tabu sana nyakati za usiku alalapo na hilo tatizo....

nawasilisha tafadhari.....
mkuu nenda E.N.T Muhimbili
 
pole sana mkuu nahisi tabu aliyoipata mwanangu nime ku pm
 
Nenda MUHIMBILI kawatafute kimario au enica HUTAJUTA!
nashkuru mkuu,nitajitahidi kufanya hivyo.... ila kama ungalinisaidia contact zao....??..muhimbili si unajua mtiti wake mkuu..???? kama unazo lakini.....ili niwacheki mapema.....
 
Omba referral ya kwenda Muhimbili utapata msaada.
 
Napenda kufahamu kama kukuroma wakati wa kulala usiku kama ugonjwa , je husababishwa na nini ? Mtu atajizuiaje? Kama ni ugonjwa je hurithishwa yaani kama baba ako alikuwa anakoroma anaweza akakurithisha? ni mbinu gani ya kuliepua tatizo hili?

Maana ni kero sana hasa unapochangia chumba na mtu , na pia ni aibu kwa muhusika na huweza pata tatizo la kisaikolojia katika nyumba za kupanga maana wote humsikia anapokoroma usiku

Kama ni ugonjwa kuna tiba ya kudumu?
Ahsanteni
 
Akapimwe maradhi ya moyo huyo na cholesterol
 
Back
Top Bottom