Jongwe
JF-Expert Member
- Apr 25, 2008
- 1,040
- 662
Tafuta wataalam wa watoto. Pale Agakhan sisi alituhudumia Dr. Mpangala, madokta wazuri wa watoto wapo wengi.najishauri nirudi tena kwa kairuki au niangalie mahala pengine...???.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta wataalam wa watoto. Pale Agakhan sisi alituhudumia Dr. Mpangala, madokta wazuri wa watoto wapo wengi.najishauri nirudi tena kwa kairuki au niangalie mahala pengine...???.
nilishakwenda kwa kairuki mkuu,na dr kahumba (specialist wa ENT)ndie aliyemuattend.....akafanyiwa hicho kilichoshauriwa,lakini tatizo halijatatuka...[emoji120] ..Fuata ushauri lakini usisahau kumpeleka kwa Dr.wa ENT usipate ana matatizo ya tonsil and adenoid yamevimba nenda kwa Daktari wa ENT pia.
nashkuru kwa ushauri mkuu...[emoji120]Tafuta wataalam wa watoto. Pale Agakhan sisi alituhudumia Dr. Mpangala, madokta wazuri wa watoto wapo wengi.
poa kaka nitakucheki....kwa msaada zaidi....[emoji120] ..Pole sana Juma chief. Mtoto wa dadangu aliwahi kupata tatizo kama hilo baada ya kuzaliwa. Mafua si mafua, kukoroma si kukoroma ila baadaye alitibiwa. Nitafute ktk 0655138686 nikupe namba ya dadangu ili ujaribu kumuuliza alifanyaje yeye akatibu tatzo hilo
Omba referal Muhimbili au KCMC for further check up KCMC kuna mabingwa wa ENT hata Muhimbili hope the same shida sisi tunaamini sana private.nilishakwenda kwa kairuki mkuu,na dr kahumba (specialist wa ENT)ndie aliyemuattend.....akafanyiwa hicho kilichoshauriwa,lakini tatizo halijatatuka...[emoji120] ..
mkuu nenda E.N.T MuhimbiliW
Waungwana naombeni msaada wa ushauri juu ya tatizo la mtoto wng.
october 2016 tulimpeleka kwa kairuki mikocheni hosptl kwa specialist wa sikio,pua na koo....
Tukaambiwa anasumbuliwa na nyama za pua,akafanyiwa upasuaji mdogo,hata hivyo tangu afanyiwe huo upasuaji hatujawahi kuona nafuu huu ni mwezi wa tatu sasa....kifua na mafua havipoi kwake...
Dawa tunazopewa ni kama zinatuliza tuu,lakini sio za kuondoa tatizo la kukoa na mafua yake,yaani usiku ni shida anapumua kwa tabu na mdomo wazi....kukoroma sasa.....??...mpaka hatulali.....
Msaada kutoka jukwaa hili maoni ushauri,pengine wapi naweza kwenda kupata ufumbuzi wa tatizo hili,kiukweli mwanangu anapata tabu sana nyakati za usiku alalapo na hilo tatizo....
nawasilisha tafadhari.....
Nenda MUHIMBILI kawatafute kimario au enica HUTAJUTA!nilishakwenda kwa kairuki mkuu,na dr kahumba (specialist wa ENT)ndie aliyemuattend.....akafanyiwa hicho kilichoshauriwa,lakini tatizo halijatatuka...[emoji120] ..
pole sana mkuu nahisi tabu aliyoipata mwanangu nime ku pmW
Waungwana naombeni msaada wa ushauri juu ya tatizo la mtoto wng.
october 2016 tulimpeleka kwa kairuki mikocheni hosptl kwa specialist wa sikio,pua na koo....
Tukaambiwa anasumbuliwa na nyama za pua,akafanyiwa upasuaji mdogo,hata hivyo tangu afanyiwe huo upasuaji hatujawahi kuona nafuu huu ni mwezi wa tatu sasa....kifua na mafua havipoi kwake...
Dawa tunazopewa ni kama zinatuliza tuu,lakini sio za kuondoa tatizo la kukoa na mafua yake,yaani usiku ni shida anapumua kwa tabu na mdomo wazi....kukoroma sasa.....??...mpaka hatulali.....
Msaada kutoka jukwaa hili maoni ushauri,pengine wapi naweza kwenda kupata ufumbuzi wa tatizo hili,kiukweli mwanangu anapata tabu sana nyakati za usiku alalapo na hilo tatizo....
nawasilisha tafadhari.....
nashkuru mkuu,nitajitahidi kufanya hivyo.... ila kama ungalinisaidia contact zao....??..muhimbili si unajua mtiti wake mkuu..???? kama unazo lakini.....ili niwacheki mapema.....Nenda MUHIMBILI kawatafute kimario au enica HUTAJUTA!
Omba referral ya kwenda Muhimbili utapata msaada.nashkuru mkuu,nitajitahidi kufanya hivyo.... ila kama ungalinisaidia contact zao....??..muhimbili si unajua mtiti wake mkuu..???? kama unazo lakini.....ili niwacheki mapema.....
Akapimwe maradhi ya moyo huyo na cholesterolNapenda kufahamu kama kukuroma wakati wa kulala usiku kama ugonjwa , je husababishwa na nini ? Mtu atajizuiaje? Kama ni ugonjwa je hurithishwa yaani kama baba ako alikuwa anakoroma anaweza akakurithisha? ni mbinu gani ya kuliepua tatizo hili?
Maana ni kero sana hasa unapochangia chumba na mtu , na pia ni aibu kwa muhusika na huweza pata tatizo la kisaikolojia katika nyumba za kupanga maana wote humsikia anapokoroma usiku
Kama ni ugonjwa kuna tiba ya kudumu?
Ahsanteni
Pia kuongezeka uzito kupita kiasiHusababishwa na mafuta mengi mwilini, uzito kupita kiasi... Dawa yake ni mazoezi tu
Hee yaani mtu anakoroma hadi anasikika chumba cha jirani?
Husababishwa na mafuta mengi mwilini, uzito kupita kiasi... Dawa yake ni mazoezi tu
Hili sio kweli, nina jamaa zangu wawili wembamba balaa, ila wanakoroma sio mchezoHusababishwa na mafuta mengi mwilini, uzito kupita kiasi... Dawa yake ni mazoezi tu