Sijui ni kiswahili Sanifu au sio lakini Namaanisha kukoroma yaani sometime huwa tunalala wote chumba kimoja lakini vitandaa tofauti tukiwa Kazini lakini Huyo Rafiki angu ni anakoroma kupita kiasi kuna muda mimi usingizi huwa unaisha kabisa kwasababu yake ya kukoroma
Ni kama Trekta hivi linalima yaani aboa kwa kweli! Sasa najiuliza Mke wake wanae lala nae kitanda kimoja inakuaje? anamvumilia kiasi gani?? yaani hapana kwa kweli
kwanza kukoroma ni nini? Ni ugonjwa au? ili kama ni ugonjwa nimwambie aende hospital nataka kujua!