Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

Ninatatizo la kukoroma nilalapo. nifanye nini ili nipunguze tatizo ili au liishe kabisa. MSAADA
 
Semeni hiyo dawa upesi tumpelekee na OKWONKWO
 
Fanya hivi, ile muda umelala, pale unakoroma kabisa, Mtu akushtue, akushtue kutoka usingizani, au kwa kukuzaba kibao, au chochote kitakacho kufanya uamke upesi kwa haraka, Muda huo asikuongeleshe jambo lolote, halafu lala tena, hauta koroma tena kamwe!
NB: Mrejesho muhimu!
 
Una uzito gani? Unene huwa unachangia kwani ukilala manyama uzembe huziba njia ya hewa.

Tafuta position ambayo unapumua vizuri ukiwa usingizini.
Ni kweli kwa sasa ni mnene ila nilianza kukoroma tangu mdogo, Nitajaribu kutafuta hiyo position kwa msaada wa watu wa karibu. Asante.
 

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hivi unajua maana ya dalili au unabahatisha? Nimesema nilianza kukoroma tangu nikiwa mdogo. Mtoto wa miaka 5 ana uhusiano gani na nguvu za kiume? Na ni dalili za nini kwa wanawake wanaokoroma, kwani hata dada yangu naye anakoroma kama nini. tukikutana wawili ndani nyumba inakuwa vurugu tu. be serious mwenyewe na naomba msaada wa kiukweli, vinginevyo thibitisha madai yako.
 
Ball pen.

Toa ule mrija wa ndani wa wino bakisha bomba tupu. Wakati wa kulala weka hilo bomba mdomoni kama sigara.

Hukoromi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…