Kukoroma usingizini: Fahamu chanzo na tiba yake

Una uzito gani? Unene huwa unachangia kwani ukilala manyama uzembe huziba njia ya hewa.

Tafuta position ambayo unapumua vizuri ukiwa usingizini.
Akate uzito,hata mimi hiyo kitu ilinisumbua sana,lakini nilipoamua kushusha kilo zangu sasa hivi niko kwenye silence nzuri sana...
 
Iyo ni kila siku akuzabe kibao au ni Mara moja tu
 
Kulala huku ukiwa unakoroma na huna kazi wala bazi,hio ni kiburi Mkuu[emoji1321]‍♂️
 
Una uzito gani? Unene huwa unachangia kwani ukilala manyama uzembe huziba njia ya hewa.

Tafuta position ambayo unapumua vizuri ukiwa usingizini.
Mbona kuna bwana mdogo ni kimbau mbau yupo form two lakini anakoroma balaa,hana nyama uzembe zozote
 
Hakuna kitu kinakera kama kulala na mtu anaye koroma, unakosa usingizi unasikilizia kukoroma kwake tu hadi kunakucha.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu, shemeji yenu ana fujo isio umiza.yaani usingzi ukimkolea anakoroma,chura anasubiri.

Sasa usiombe iwe ni siku ambayo tumegegedana...hua nataman nikalale sebulen.

Mwenye ujuzi wa chochote cha kufanya ili kukoroma usiku walau apunguze tu,maana dah!!!
 
Kugeuza mlalo, jaribu kumsukuma a change mlalo kama amelalia ubavu A mbadili ubavu B
 
Pole sana. Fuata ushauri wa comment ya hapo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…