Juisi yangu nayo nianze kuiangalia kama movie? Nehi!! Cha kuangaliwa kinaangaliwa na cha kuliwa kinaliwa.Mambo mengine tuwaachie wenyewe..
Mimi nikajaribu kuangalia movie huku nakunywa juisi, movie haijafika popote, dumu la lita 1.6 lishaisha.. 😂