Kula matunda tu usiku ni formular ambayo haiko applicable kwa hapa kwetu Afrika

Kula matunda tu usiku ni formular ambayo haiko applicable kwa hapa kwetu Afrika

hamna kitu kibaya kama njaa ya usiku[emoji119]hapakuchi kudadeki,i feel u
Sitasahau nilikuwa mkoa flani basi mchana nikapiga msosi fresh, halafu nakaa nje ya mji na kushinda mjini nikawa nshachoka Ila nikiwaza nikirudi home usiku ntakula nini maana kule hawauzi msosi kabisa si ndo nikanunua papai nirudi nalo magetoni, hiyo ilikuwa mida ya saa kumi jioni, kufika saa moja usiku njaa kama yote nikaamua kulipiga papai langu na maji mambo yakaenda fresh Ila saa nne tu tumbo likadai haki yake nikajipa moyo ntatoboa weeee! Sasa sita usiku nipo nje navizia bodaboda itakayokatiza inipeleke town nikatie msosi
 
Inawezekan mkuu,mim mwenyew nakula matunda nalala au nakunywa chai na bites nalala...na imefika mahali siwezi kula chakula kizito usiku mfano wali au ugali
Labda huko daslamu,ila kweli mtu ameshinda shambani mchana kutwa,uje umlishe huo mlo wako mkuu?
 
Mimi huwa sili chochote usiku, ni suala la kuzoea tu, mwanzo mgumu, nakumbuka nilivyokua sipati usingizi kisa njaa kali, ila napambana humo humo hadi mwili ukazoea.
 
Mimi huwa sili chochote usiku, ni suala la kuzoea tu, mwanzo mgumu, nakumbuka nilivyokua sipati usingizi kisa njaa kali, ila napambana humo humo hadi mwili ukazoea.
Mkuu hakikisha mandonga anarudi na hela mlizomlipa, maana wadada wa Kenya wasijefanya akarudi kama alivyoenda
 
Kama hauwezi kuuendesha mwili wako

Hata akili utashindwa kuiendesha.
 
Kama kazi zako ni ngumu na unafanya mpaka majira ya usiku,,,usitegemee kuiweza hiyo ratiba.
 
Kumbe inafanya kazi hii, na mimi sijui nijaribu
Mimi siku za skukuu pekee ndio naweza kula mchana na usiku ukapita bila kutia chochote au kupiga vitu vilaini kama juisi au tunda Ila hizi siku nyingine siwezi
 
Nakula matunda usiku. Ila sio matunda haya yenye maji pekee.
Nakula ndizi
Parachichi
Maembe,
Usijidanganye ukala tikiti maji na machungwa halafu ulale mzee utashirikiana na sungusungu kulinda mtaa ukiwa kitandani.

Mimi sio mnene Ila sitaki kunenepa.

That's all.
Nimeanza siku kwa kicheko sana. Jamani diet is a commitment na discipline.
 
Dunia duara aisee,mm kila nikila vip sinenepi ,hata nile manyama miezi 20 kila siku siongezeki hata kila moja zaid ya kunenepa mashavu tu...
Mkuu nilikuwa na mawazo kama yako, utoto wangu wote nilikuwa mwembamba hadi kitaa wananiita chikondem na nikajitahidi kula lakini mwili hauji Ila sasahivi ni hatari nna mwili hadi nawaza nautoaje huu mwili, chakula ni noma aisee
 
Nilihudhuria darasa flani la mambo ya afya coz niliona mwili wangu umekua mkubwa mno so nilitaka darasa la namna ya kupunguza, moja ya masomo ilikuwa ni kula matunda tu usiku.

Nimejaribu jana ila leo nimeshindwa, nimekula matunda saa 1 na nusu nikapanda bed kulala ila sasa hivi saa 3 naskia nenge ya ajabu, imebidi niingie jikoni kurusha nguna tu.

Nadhani hii formula ya matunda tu usiku kwa sisi waafrika haiko applicable kabisa, tuwaachie wazungu tu.
Ukiamua mbona rahisi tu, muhimu mchana ule na ushibe vizuri.
 
Hahah ni kujicondition tu. Binafsi ni mwembamba lakini matunda ndo mlo wangu wa jioni
 
Kula matunda ushibe, matunda hayana tatizo kabisaa hata ukivimbewa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli eeh? Mimi juzi nilianza kula matunda nilishiba hadi nikasema heee mbona kama nimepiga ugali tu jana nikapunguza
 
Njia nzuri ya kupunguza mwili ni kufanya mazoezi au kufunga basi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli eeh? Mimi juzi nilianza kula matunda nilishiba hadi nikasema heee mbona kama nimepiga ugali tu jana nikapunguza
Kula ushibe haina tatizo kabisa km ni matunda, mchana pakia ugali wako vizuri, jioni kula matunda tu na unaweza kula matunda yenye nyuzi yana tabia ya kukaa muda mrefu tofauti na matunda mengine mfano nanasi, au maembe,

Ukizoea hivyo then mchana unaanza kula kwa kuchanganya, km ugali sahani nzima unakula robo tatu, then robo nyingine ijazie matunda,, utapungua ndani ya muda mfupi tu
 
Back
Top Bottom