Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Mpaka Naingia kaburini siwezi kuja kula mbuzi katoriki neverBado haujaanza kula vizuri Mkuu..
Siku ukianza kula Mbuzi Katoliki ndo utajua kuwa sikuwahi kula vizuri😎
we kama sio kijukuu cha mudi basi bibi ellenHapana konyagi marufuku
YesKwa hiyo we ni makulakula?
Halafu alipitia mtaani aanze kuwalalamikia wanaume wanaommezea mateKwastyle hiyo hizo hips na makebo ulobarikiwa yatapungua kwel?
Na mwanaume unaanzaje kupika ndizi? M najuaga ni ugali na dagaa wa kununua wa kukaanga au dagaa mwanza tu
Mambo ya kukaa jikon na hilo shepu lako zinatia waswas
Kwenye ule uzi wa nini ufanye ili ufanikiwe ongezea na kujipenda na kula vizuriSitumii pombe,
Situmii sigara.
Situmii kitimoto
Sio mtu wa wanawake
Kilevi changu ni kula vizuri sana, mfano Leo weekend
Nimepika nyaama ya mbuzi kilo Moja na ndizi za kukaanga nakupa taratibu.
Hakika Sina kilevi zaidi ya kula vizuri
Ayawazayo mtu ndo yamjazayo Munch wa anabelle tzKwastyle hiyo hizo hips na makebo ulobarikiwa yatapungua kwel?
Na mwanaume unaanzaje kupika ndizi? M najuaga ni ugali na dagaa wa kununua wa kukaanga au dagaa mwanza tu
Mambo ya kukaa jikon na hilo shepu lako zinatia waswas
Hahahaha 🤣 sawaKwastyle hiyo hizo hips na makebo ulobarikiwa yatapungua kwel?
Na mwanaume unaanzaje kupika ndizi? M najuaga ni ugali na dagaa wa kununua wa kukaanga au dagaa mwanza tu
Mambo ya kukaa jikon na hilo shepu lako zinatia waswas
Nashukuru sanaKwenye ule uzi wa nini ufanye ili ufanikiwe ongezea na kujipenda na kula vizuri
Mindset ya kimasikini inakusumbua siku ukianza kupata mia mia mbili utabadilika. SikulaumuAyawazayo mtu ndo yamjazayo Munch wa anabelle tz
Mimi mwanaume alafu wanaume wenzangu wanimeee mate?🤣🤣Halafu alipitia mtaani aanze kuwalalamikia wanaume wanaommezea mate
Hapana namsema uyo aliyekuponda hapo juu eti mwanaume halagi ndizi wakati wanaume wa uchagani ni wembambaMindset ya kimasikini inakusumbua siku ukianza kupata mia mia mbili utabadilika. Sikulaumu
😃Rio ferdi nandi chukua kipaji kingne hiki hapa. Kula ni kipaji kizuri sana na haunywi hauvuti sigara upo vizuri tunza hizo figo cku ukifa zitasaidia mwingne.
Hahahaha samahaniHapana namsema uyo aliyekuponda hapo juu eti mwanaume halagi ndizi wakati wanaume wa uchagani ni wembamba