Kula vizuri ndio kilevi changu, kwa hili nashukuru sana Mungu

Ahsante mkuu nimekuelewa
 
Sasa hapo Mungu anahusikaje, akili ya mtu mweusi dah
 
Situmii pombe,
Situmii sigara.
Situmii kitimoto
Sio mtu wa wanawake

Kilevi changu ni kula vizuri sana, mfano Leo weekend

Nimepika nyaama ya mbuzi kilo Moja na ndizi za kukaanga nakupa taratibu.

Hakika Sina kilevi zaidi ya kula vizuri
Kama hauli kitimoto acha kupotosha umma kuwa unakula vizuri. Hapo unajipotosha mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…