Kuleta beki tatu nyumbani ni muhimu, ila hugeuka sometimes na kuwa chanzo cha migogoro

Sijawahi kuwa na mwanaume wa kutamani kulala na wasichana wa kazi, tunawaheshimu sana kama wadogo zetu, sio kila mtu kakuzwa kuwa na tabia za kishenzi hizo!
Sahihi mkuu..ni tabia za hovyo mnoo. Wifi yako anafanyia kazi moja ya kitengo cha Ulinzi,kuna kipindi wanaenda course hata miezi 8...nabaki na dada wa kazi na mtoto.
Sijawahi kufanya huo upumbavu hata kuwaza tu.
 
Mimi nilikuwa naenda kusoma na ninarudi nina uhakika hakukuwa na jambo lolote la kijinga! Sijui kwanini wanaume wanahalalisha haya mambo ya kipuuzi kwenye vikao vyao!
 
Sema kiuhalisia hili sio jambo la kukaa na kujivunia sababu wengi huwa mnawalazimisha hao wasichana na sio matakwa yao.

Na vile wana shida basi wanakuwa hawana namna.

Wasichana wa watu wanakuja kufanyakazi kujikwamua labda na kusaidia familia lakini huu ndio unyama wanaokutana nao kutoka kwa wanaume wasio na roho ya utu. Na vile wamefungiwa majumbani na hawana elimu nani atawatetea?
 
Kama Mwanaume hauta jiheshimu, unaweza kuitumbukiza ndoa yako kwenye migogoro kisa Dada wa kazi

Ndoa ya Mtume Ibrahimu na mkewe Sara iliingia kwenye migogoro baada ya Ibrahimu kuzaa na Dada wa kazi (Wa kuitwa Hajiri) mtoto wao wa kwanza Ishmaeli (Kitabu cha Mwanzo 16)

Tujitahidi kuzishinda tamaa zetu kwa kuwaheshimu mabinti wa kazi, tuwatunze na kuwalea kama watoto zetu wa kuwazaa
 
Mtoto ana MIAKA 20
 
Uandishi wako, na akili yako ni kama beki tatu pia. Wewe utaolewa lini? Maana sasa unakaa sana kwa bro wako kuna siku akikosa kwa mkewe atakuja na kwako. Fanya jitihada ukaoelewe siyo kutaka nawe ukasagane na beki tatu. Olewa uwe huru.
Wewe *****, mi nishatoka levo ya Kuwaza kuoa, na Nina watoto na MKE safi, we komaa.
 
Wasichana wa watu wanakuja kufanyakazi kujikwamua labda na kusaidia familia lakini huu ndio unyama wanaokutana nao kutoka kwa wanaume wasio na roho ya utu. Na vile wamefungiwa majumbani na hawana elimu nani atawatetea?
Na wengi wao ndio wanafanyia shida tu, lakini wanaume wanawageuza madanguro yao! Anajiona kapata wake wawili tayari🙌🏾
 
Unapenda màandiko vipi ILI la mwanamke mpumbavu uvunja ndoa yake mwenyewe na je hujaona chanzo Cha tatizo umewahi KWENYE tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…