Kuleta beki tatu nyumbani ni muhimu, ila hugeuka sometimes na kuwa chanzo cha migogoro

Wengi ndo hivo kaka.Wife muda wote anatoa Kazini amechoka sichakati nikashiba ndo maana naona option ni kupata beki tatu pisi.
 
Mtu huyo ni hatari hata kupita na watoto wenu ni jambo jepesi kwake! Maana atamla muda umelala chumbani kwako๐Ÿ˜ฑ
Yani mtu apite na watoto wake wa kuwazaa huyo atakuwa na ugonjwa wa akili labda.
 
Duuh! Pole rafiki.

Hivyo mlikuwa mnaishi pamoja au mikoa tofauti? ๐Ÿ˜œ
 

Ni kawaida kwa watu wanaoshindwa kujidhibiti kufanya mambo ya fedheha.

Wanaume wote wale Alpha Male wanafanana kitabia Kwa mambo yafuatayo linapokuja suala la mahusiano;

1. Hawatoki na Wake za watu hasa wakijua huyu ni mke wa mtu.

2. Hawagongi Rafiki, ndugu, au jirani mahali anapoishi au anapofanyia kazi.

3. Hawatoki na Wafanyakazi wenzao.

4. Haendeshi magari wakiwa wamelewa.
Ukilewa usichague mwanamke wa kumgonga huko Bar au njiani

5. Hawawezi ku-date na Mfanyakazi wake kama housegirls na wafanyakazi aliowaajiri.

6. Maumivu yakizidi huwaona madaktari.
 
Naweza kufanya maupumbavu mengi sana lakini siyo kumuingilia dada wa kazi haijalishi nina ugwadu kiasi gan ama ni mzuri kiasi gani,never haitakuja kutokea. Na binti yangu wa kazi ni chuma haswa
Usijali bodaboda tutamtomba
 
Mama kajiongeza huyo, huduma anayoitaka ni zaidi ya utunzaji wa bustani ila ameiweka kimkakati.
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ umenikumbusha kuna tangazo mama fulani alipost facebook kuwa anafuta mtunza bustani akadai awe AMETAHIRIWA kama sifa mojawapo ya kupata kazika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ