Kuleta beki tatu nyumbani ni muhimu, ila hugeuka sometimes na kuwa chanzo cha migogoro

Hakuna cha Alpha wala Omega, wanaoponda ishu ya kula mabeki tatu ndio hao hao wanagonga work mates kazini ama mabinti wa sheli na madukani.

Mwanaume ukishakuwa rijali na afya iko vizuri swala la kugonga halina mipaka as long as mwanamke anaviwango unavyovitaka. Tuache mambo ya unafiki.
 
Wengi ndo hivo kaka.Wife muda wote anatoa Kazini amechoka sichakati nikashiba ndo maana naona option ni kupata beki tatu pisi.
Mke akishachukulia swala la kutoa mbunye ni kama anakufanyia hisani matokeo yake ndio wengi huparamia mabeki tatu. Huo ni ukweli usiopingika. Kila changamoto ina chanzo chake.
 
Hii ni Tanzania bongo, unafikiri hao police hawafanyi hivyo kwa beki tatu wao na kuona ni jambo la kawaida tu?
 

Watu hawafanani.
Viwango sio sababu pekee ya kunifanya nilale na Mwanamke.
Kuna miiko pia
 
Sheli, dukani na kazini mke wako hayupo lakini, halafu hao wanawake huko wana uhuru mkubwa wa kukaata au kukubali tofauti na binti wa kazi nyumbani kwako.
 
Sheli, dukani na kazini mke wako hayupo lakini, halafu hao wanawake huko wana uhuru mkubwa wa kukaata au kukubali tofauti na binti wa kazi nyumbani kwako.
Wanandoa wengi wanachepuka mke sio kigezo cha kuzuia wewe kuvutiwa na wanawake wengine. Kukataliwa ni jinsi unavyojieleza na mvuto ulionao. Ukiwa fala unatupwa tu hata na baamedi!
 
Hakuna Cha jirani na wewe ni wale wale UWEZO chepuka nje kivyovyote ukasema unalinda NDOA
Kwahio mkuu utalinda ndoa kwa kupiga nyeto ikiwa huduma hupati kwa usahihi? Au unataka kumaanisha kipi mzee, yani uwe na kazi ya kubembelezea upewe "K" uliyoilipia mamilioni kama unaomba mkopo CRDB!?
 
Sasa beki tatu naye si mtu jamani, mnasemaje ananyanyaswa ikiwa anashawishiwa in the same manner kama mtoto yeyote wa kike na anaridhia kutoa mali?

Kama kubakwa si anapiga kelele majirani watakuja kuwafumanieni au anamueleza mkeo kwamba anabakwa. Akiliwa na boda boda wa mtaani mbona hamsemi kabakwa?
 
Miiko ipo kweli, kama bloodline huwezi kupiga ni laana. Binafsi nina mwiko wa kutokuchapa K za madanguro zile. Labda itokee nimeichapa katika mfumo wa tofauti ila sio ule wa "Pay for fun" ila kwa akili timamu niende uwanja wa fisi, kitambaa au corner bar. Hizo mambo sifanyagi.
Watu hawafanani.
Viwango sio sababu pekee ya kunifanya nilale na Mwanamke.
Kuna miiko pia
 
Hongera sana kuwa na bibi ambaye hakumbushwi kutoa unyumba.
 
Ofcourse mwanamke yeyote huwezi kumvua chupi bila kumshawishi na aridhie. Kinyume na ushawishi ndio inakuja concept ya ubakaji kwa maana unamuingilia bila ridhaa yake. Mtoto wa kike wa above 18 years hawezi ku claim kubakwa ikiwa ameridhia ku engage kwenye sexual relationship na major mwenzie.
 
Mle beki tatu at your own risk Niko tayari kuvunja ndoa sababu ya beki tatu kuliko michepuko yako 15 ya huko mbali!
Nguvu za kula beki tatu atazitoa wapi ikiwa unampa anakula mpaka anasaza.

Tabu ipo kama hujiongezi au mvivu kuhudumia mzee kwa bed na I swear kesi itakapofikia kwako utajihukumu mwenyewe tu kwa maana unajua kuwa ni mzito wa kuhudumia mumeo. Wala haitakuwa tabu kuimaliza hio kesi!
 
Nakushauri tu usijaribu mkuu, akinogewa utajuta vibaya sana! Binafsi siwezi kumuheshimu mtu tunashare upoo..🙋🏽‍♀️
 
Kwahio mkuu utalinda ndoa kwa kupiga nyeto ikiwa huduma hupati kwa usahihi? Au unataka kumaanisha kipi mzee, yani uwe na kazi ya kubembelezea upewe "K" uliyoilipia mamilioni kama unaomba mkopo CRDB!?
Hapana YEYE kasema ni Bora kutoka nje KULIKO kumpiga beki tatu ILI kulinda NDOA Sasa je kutoka nje ni sawa kivyovyote ni sawa ? Kama sio sawa kwanini iwe Bora kutoka nje KULIKO kuchapa ya beki wakati ni Yale Yale Kwani WA nje hawezi kusanua ndoa.

Piga popote unapo ona ila hakuna penye haueni inategemea na MTU , mfano yule beki alishaolewa na MTU mwingine hatujawahibsikia za chini ya kapeti ni kama hajawahi pigwa miti na bosi wake


HATA beki NAYE MTU kama mchepuko sema tofauti ni YEYE yumo ndani ya nyumba yule Yuko nje
 
Yes umeinail
 
Kimsingi wote ni michepuko, sema mmoja yuko kwenye mfumo wa "Zero Grazing" na wengine ni Uncontrolled population.
Hamna cha afadhali.
 
Hamna mwanamke mvivu mbele ya mwanaume anayejua kuichakata vizuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…