Kuliko kuajiri mfanyakazi wa ndani tuwe na utaratibu wa kuchukua watoto wa ndugu kwa nia ya kuwaendeleza

Yeah ofcourse hii inasaidia ila ni wangapi wenye hii spiritšŸ˜€
 
Shukuru hapa mtoto anakomazwa na anapata akili kinouma.sasa subiria miishakuwa wakubwa uliyekuwa unaonekana unateswa ndo unahimili mikiki ya life Ila wao Kama hawajashikwa mkono usikute wanakuomba msaada.
Mie naamini katika kukomazwa kwa dizaini iyo.
Hata mie nimekulia kwa bamdogo huyo mke wake ndo alinijenga na zile mishe za jkt.
Kwetu Niko strong kuliko wengine.kuna muda mdogo wangu ni mwanaume kabisa alikuwa around 28 Yuko town kiutafutaji,sijui ilikuwaje akijiliza kwa mama kuwa Hali mbaya nalala njaa. Na huku mie nishalala siku mbili bila kuweka kitu mdomoni sema nilichukulia Kama stepping stone nikapata maganzi makubwa how to fight.
We've unlimited potential
 
Yeah kusaidia imesaidia sana mzee japo ilikuwa unfair game! Wao walizaliwa Canada so wana uraia wa kule na kwa sasa walisharudi Canada kimaisha wako zao mtoni sie tunapambana Bongo!
 
Maisha ni utashi na Kila mtu anafanya kile ambacho anakiona ni sahihi kwake na kinampa manufaa ila kimtizamoo ni jambo jema sana
 
Asili ya binadamu ni majungu na wengine wanasahau hali zao. Na yeye anataka aishi kama Junior, ale chocopops kwa breakfast. Mkishindwana unamridisha kwao salama.

Eti umrudishe kwao! Utajua huwajui ndugu wewe.šŸ¤[emoji2535][emoji36]
 
Ni jambo zuri sana ikiwa utapata watu wanaojitambua na kuelewa wajibu wao.
Kwa uzoefu wangu, ndugu au jamaa wanaweza kukupa kero na namna ya kushughulika na kesi zao inajumuisha watu wengi ambao inawezahatarisha mahusiano kwenye familia.

Ukipata anaejitambua, ni raha sana, lakini wengi wao wanakuja na mtazamo kwamba hapo wapo kwa ndugu yao na wao sio wafanyakazi, wanaweza kumvimbia wife ikawa tafran.

Nawasaidia lakini mmalawi lazima awepo kufanya wajibu ambao mahusiano yetu ni kazi na ujira.
Malawi Ishakuwa official,sio Iringa tena?

Wale wanajua kazi yao vizuri sana, tatizo off kila Jumapili.
 
Jirani yangu alilelewa na baba na mama wa kambo. Mama wa kambo alimfahamisha kabisa kuwa mle ndani hakuna mfanya kazi kwaajili yake. Ajue kufua na kupiga pasi nguo zake. Ajue kusafisha chumba chake. Akitoka shule apike ugali wake. Haya yote mama yake hakuwahi kumfundisha.

Anamshukuru sana mama wa kambo sasa hivi.
 
Ulianza hovyo ila umehitimisha vema. Eti usimcontrol umuache free afanye anachotaka, huyu mtoto wa miaka 15-18 umuache free?

Hapo una jukumu la kumfunza mambo mengi tu, na utarajie upinzani mkali.
 
Ulianza hovyo ila umehitimisha vema. Eti usimcontrol umuache free afanye anachotaka, huyu mtoto wa miaka 15-18 umuache free?

Hapo una jukumu la kumfunza mambo mengi tu, na utarajie upinzani mkali.
Haimaanishi avunje vyombo au vioo vya gari kisha umtazame! Mtoto unaweza muelewesha kwa upendo kuwa namna nzuri ya kufanya mambo ni hivi na vile
 
šŸŽ¼Mama Mdogo aliponichukua kijijini, alimuahidi Mambo mengi, dada yaaakeeeešŸŽµkwamba atanisomeshaaaa
šŸŽ¶Kumbe ni kunirudishia Nyuma Maisha yaanguu ya badaeee

šŸŽ¼Tulipofika mjini mamaaaašŸŽ¶Tulipofika mjini mama kanigeuzia kibao šŸŽµ
Hakuna Cha shuleeešŸŽ¶wala darasaaašŸŽ¤
 
Kwa mujibu wa mada hii, lengo kuu ni kupata mfanyakazi ila awe ndugu ili kumwendeleza… kwahiyo huyu ni mfanyakazi na analipwa kama wengine ila kwa sababu ya undugu ndo atadhani ana haki sawa na Junior.

Ni changamoto sana kubalansi hapo.
 
Kwahio wewe unaona kwako ni sawa kumchukua mtoto wa kaka yako na kumfanya shamba boy hapo kwako?
 
Kwahio wewe unaona kwako ni sawa kumchukua mtoto wa kaka yako na kumfanya shamba boy hapo kwako?
Ni hivi anasafisha mazingira ya nyumbani, lunch anakula anapaswa kwenda kwenye mafunzo na jioni kama hajachoka anaweza kukaa sebuleni kuangalia hotuma ra Mheshiwa Rais pamoja na familia.
 
Leo nipo na wewe tu Mzee.[emoji16]

Acha kuwa negative sana, pamoja na kuvaa maronya lakini umeambiwa hao mabinti walifanikiwa kusoma hadi kupata kazi…. umewaza pengine maronya yalisevu hela iende kwenye ada?
 
Sawa sijakataa mi nalalamikia ile fairness! Kwani wangevaa woolworth wasingesoma hadi kupata kazi?
 
Kwahio wewe unaona kwako ni sawa kumchukua mtoto wa kaka yako na kumfanya shamba boy hapo kwako?

Kama lengo langu ni kutafuta shamba boy na nikaona nikimweka yeye atafaa, kwa maana ningeweza kuleta yeyote ila nimechagua ndugu ili angalau naye nimsogeze mahali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…