SINGLE WINDOW
JF-Expert Member
- Sep 2, 2021
- 356
- 278
Mbowe atakuwa na wwnzake gaidi hawagi pekeyake mkuu eleqa bado tumamuhitaji rais wwtumpendwaKwa hiyo mama kapata tishio kwa mtu aliyoko gerezani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe atakuwa na wwnzake gaidi hawagi pekeyake mkuu eleqa bado tumamuhitaji rais wwtumpendwaKwa hiyo mama kapata tishio kwa mtu aliyoko gerezani?
Bro usiharibie wenzako wakose safari bhana. Safari zenyewe hizi nadra sanaMimi ile kauli ya kwamba Watanzia mniombee imenishtua sana, pia sioni haja ya msafara kuwa na walinzi wengi kiasi kile wakati Tanzania haina historia ya ulipuzi wa viongozi
Kwa hiyo hizi safari ndio njia ya wao kupata angalau per diem, okay boss nimekuelewa. Ila mishahara naskia si haba tofouti na vyombo vingine vya ulinzi na mishahara yao ni zaidi ya polisi na wengineo hao.Bro usiharibie wenzako wakose safari bhana. Safari zenyewe hizi nadra sana
Bila shaka utakuwa umenielewa
50 madogo mkuuNi noma mkuu,nilihesabu magari,yalikua zaidi ya 50! Siku hizi ana ambulance mbili kwenye msafara wake!
Usalama tanzania embu tuwe serious kidogo, ulinzi ule ni mkubwa mno, huwenda ni mbinu ya vijana wanaohusika na ulinzi kula per DIEM hakuna lingine hapo. Au mama pia ameshaanza kufurahia kuzungukwa na mitutu kila mahali?Picha linaweza kuwa lile japo stering mpya anajarbu kuw na rangi Tofauti
Labda swala la kiusalama zaidi.
Usalama tanzania embu tuwe serious kidogo, ulinzi ule ni mkubwa mno, huwenda ni mbinu ya vijana wanaohusika na ulinzi kula per DIEM hakuna lingine hapo. Au mama pia ameshaanza kufurahia kuzingukwa na mitutu kila mahali?
Asikutege au asikutenge, ni nini una maanisha?Mkuu usitutenge basi?
Huwenda zitakuwa zimebeba vifaa vya huduma ya kwanza boss.Hata sielewi mkuu wangu! Ukiangalia kwenye msafara wake utaziona! Tena zipo kwenye line moja!
Point nzuri sana, lakin punguza mitusi mdomoni mwako.acha kupotosha,hata jpm mbona alikuwa Mara kadhaa akisema MNIOMBEE!!??,mbona hukusema ni kundi flani linamuandama jpm,pumbavu ...,samia huenda kwa Sasa amegundua ikulu sio pa mchezo Panahitaji moyo wa chuma na ujasiri wa kutosha. huwezi kukosa maadui ,Wala huwez kukosa marafiki,lakini pia ikulu usimwamini mtu hata Kama ni mkeo au mumeo.muda wowote mtu wako wa karibu unayemwamini anaweza kuwa adui yako !!!
Raisi wa nchi hajipangii ulinzi. Nchi ina taratibu zake za kumlinda kiongozi wake.Jana akiwa Moshi nilishangaa sana kuona ule msafara na zile chopa mbili juu!
Lissu alisema ni mapema mno kumpa sifa Rais Samia! Sasa keshaonja utamu wa Urais,kwa hiyo na yeye anafanya tu atakavyo
Hiki kikosi kumbe ni maalamu kipo chini ya Mh. Rais ama wapi? Maana katika kumbukumbu zangu sijawahi ona combat za namna ile hata vimo vyao ni tofouti na hawa askari wetu wa kawaida ama ni kikosi maalamu ambacho hata ajira zao zinakuwa za siri tofouti na majeshi yetu na basement yao itakuwa wapi?Yes! Zitakua zina beba huduma za kwanza mkuu,maana ile convoy,lolote laweza kutokea!
Wale asikari watakua ni wetu,jaribu kuangalia wale waliovamia Cloud's pale wakiwa na Bwana Paul Makonda, wanarandana na zile overall zao,pamoja na miili yao! Sema kuwaona hua ni nadra sana! Wajuzi wa mambo wanasema hua wanapewa order na President tu!
Watanzania unawatambua unaishi nao wote? Nchi unaiona imetulia sababu ya hao hao wanaoamua ulinzi wa raisi uwe wa kiwango gani.Hapa inaleta mantiki kidogo kwa ninavyo watambua watanzania sidhani kama wana uthubutu wa kumshambulia kiongozi yoyote mkubwa, huwenda hawa wanajiongeza ili kupiga pesa. Asante kwa maelezo yako boss
Ninavyoelewa mimi msafara huwa ni wa kiitifaki zaidi.Ambulance mbili kwenye msafara mmoja zote hizo za nini mkuu?