Kulikoni? Msafara wa Rais Samia kuwa na magari yote haya, pia ulinzi wake umeongezeka maradufu

Mimi ile kauli ya kwamba Watanzia mniombee imenishtua sana, pia sioni haja ya msafara kuwa na walinzi wengi kiasi kile wakati Tanzania haina historia ya ulipuzi wa viongozi
Bro usiharibie wenzako wakose safari bhana. Safari zenyewe hizi nadra sana

Bila shaka utakuwa umenielewa
 
Bro usiharibie wenzako wakose safari bhana. Safari zenyewe hizi nadra sana

Bila shaka utakuwa umenielewa
Kwa hiyo hizi safari ndio njia ya wao kupata angalau per diem, okay boss nimekuelewa. Ila mishahara naskia si haba tofouti na vyombo vingine vya ulinzi na mishahara yao ni zaidi ya polisi na wengineo hao.
 
Picha linaweza kuwa lile japo stering mpya anajarbu kuw na rangi Tofauti


Labda swala la kiusalama zaidi.
 
Picha linaweza kuwa lile japo stering mpya anajarbu kuw na rangi Tofauti


Labda swala la kiusalama zaidi.
Usalama tanzania embu tuwe serious kidogo, ulinzi ule ni mkubwa mno, huwenda ni mbinu ya vijana wanaohusika na ulinzi kula per DIEM hakuna lingine hapo. Au mama pia ameshaanza kufurahia kuzungukwa na mitutu kila mahali?
 
Braz watu wanatafuta posho na per diemu
Usalama tanzania embu tuwe serious kidogo, ulinzi ule ni mkubwa mno, huwenda ni mbinu ya vijana wanaohusika na ulinzi kula per DIEM hakuna lingine hapo. Au mama pia ameshaanza kufurahia kuzingukwa na mitutu kila mahali?
 
Kipnd cha Mh. kikwete hakukuw na vitisho.

Sababu labda n swala la kiusalama
 
Hata sielewi mkuu wangu! Ukiangalia kwenye msafara wake utaziona! Tena zipo kwenye line moja!
Huwenda zitakuwa zimebeba vifaa vya huduma ya kwanza boss.

Hivi wale watu warefu weusi tii na pua zilichongoka na wameshika bunduki ni askari wetu pia maana sijawahi ona watanzania warefu kama wale.
 
Point nzuri sana, lakin punguza mitusi mdomoni mwako.
 
Swali uliloliuliza ni la msingi na Kwa bahati mbaya hatuezi kujibiwa ,wakiamua kufanya hivyo wao ndo wanajua ,,,,1,sababu 2.ilikuwaje 3 ,nini kifanyike 4.na lini kifanyike ,5 Kwa nini kifanyike......Kiufupi nchi inafanyiwa tathimini na idara ya usalama WA Taifa Kwa hyoo. Kimsingi tuwaamini tuuu
 
Hiki kikosi kumbe ni maalamu kipo chini ya Mh. Rais ama wapi? Maana katika kumbukumbu zangu sijawahi ona combat za namna ile hata vimo vyao ni tofouti na hawa askari wetu wa kawaida ama ni kikosi maalamu ambacho hata ajira zao zinakuwa za siri tofouti na majeshi yetu na basement yao itakuwa wapi?
 
Msafala WA raisi Una watu wengi mno ambulance nashauli ziwe tano
 
Hapa inaleta mantiki kidogo kwa ninavyo watambua watanzania sidhani kama wana uthubutu wa kumshambulia kiongozi yoyote mkubwa, huwenda hawa wanajiongeza ili kupiga pesa. Asante kwa maelezo yako boss
Watanzania unawatambua unaishi nao wote? Nchi unaiona imetulia sababu ya hao hao wanaoamua ulinzi wa raisi uwe wa kiwango gani.
 
Ambulance mbili kwenye msafara mmoja zote hizo za nini mkuu?
Ninavyoelewa mimi msafara huwa ni wa kiitifaki zaidi.

Kwa hiyo "watu wenye nyadhifa zao",katika mkoa husika lazima wawepo kwenye ziara hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…