Kulikoni? Msafara wa Rais Samia kuwa na magari yote haya, pia ulinzi wake umeongezeka maradufu

Halafu anajidai kupanda ndege ya kawaida kwenda marekani kupunguza gharama, kama wewe ni mzalendo you need to be consistent.
 
Ila lakini inashangaza na kusitisha sn.Kodi zinavyotumika
 
Akiishakuwa Rais wala siye anayepanga swala la ulinzi wake ndo maana kunazo wizara na vitengo mbalimbali serikalini

Kwa hivyo anapokuwa na ziara kitengo cha ulinzi ndicho huwa kinajipanga ikiwa ni ulinzi wa namna gani unaohitajika kufanyika huko aendako ziarani na hii huwa wao wenyewe ndo huwa wanafanya kwa kuzingatia usalama na mazingira ya kule anakofanya ziara

Msimlaumu Rais bure.
 
Wanamlinda asipate Corona, au hujui ni hatari?
 
Ulinzi wake sasa umekuwa 'beefed up' hivyo ili Kumkinga na Covid-19 na yale ya tarehe 17 Machi 2021 yasijirudie Mkuu.
 
Sasa maisha yako yote umeishi Songea kwa wangoni hao watu warefu utawaona wapi?
 
Hana makuu hofu ya nn,ulinzi pekee ni kuwatendea watu mema.
Mwingi na JK hata kariakoo wanaweza katiza salama kabisa bila hata mlinzi, sababu waliwekeza kwenye wema
JK bahati yake alitawala kabla ya Magufuli...Magufuli kafa ila utawala wake na namna ya uongozi ndio utakaotumika kama standard za Urais Tanzania tena vizazi kwa vizazi,kwa watu wa mjini na vijiini ndani na nje ya Tanzania,wakubwa kwa watoto.
 
Watanzania unawatambua unaishi nao wote? Nchi unaiona imetulia sababu ya hao hao wanaoamua ulinzi wa raisi uwe wa kiwango gani.
Don't live in a lie

JWTZ ndo kila kitu ama ndo Final, hao unaowasema hawana ishu hata kidogo kwa dunia ya sasa, sababu wamekua associated na chama kulicho na dola na in the end wamekosa uadilifu na umakini.
 
Huko kaskazini si ndio kwa magaidi na majambazi ? Lazima ulinzi uimarishwe
Usalama tanzania embu tuwe serious kidogo, ulinzi ule ni mkubwa mno, huwenda ni mbinu ya vijana wanaohusika na ulinzi kula per DIEM hakuna lingine hapo. Au mama pia ameshaanza kufurahia kuzungukwa na mitutu kila mahali?
 
Rais wetu Mama Samia aongezewe ulinzi maradufu Kwa kazi kubwa ya maendeleo anayoendelea kufanya Tanzania na mwenye macho anaona kama Ally Bananga wataoendelea kuunga mkono Rais Samia.

Wenye Roho mbaya watubu dhambi ya wivu na chuki ! Maadui wanaendelea kuongezeka.
 

Attachments

  • Duh.! Kada machachari wa Chadema, Ally Bananga ahamia CCM mbele ya Samia, aomba kupewa kazi ( ...mp4
    48.4 MB

 
Hapana,lazima yeye mwenyewe anahusika.
Kuna siku moja JPM alitoka Chato na V8 nne tu kwenda Mwanza na wala hakusimama mahali.
Inawezekana jabisa kuwa na convoy fupi ya magari.
 
Hio misafara ni kwa ajili ya kugawana hela tu wala hamna kinginecho! Kuhusu kuombewa anajua tayari kashazingua ndio maana 😂😂😂
 
Yupo kaskazini anajua walimsweka mbowe kwa makusudi.

Anajishtukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…