Kulikuwa na nini kati ya Tanroad ya Mfugale na JPM? Tanroad ilipokea fedha kuleta mtambo wa kutengeneza sukari wa dola milioni 50, haukuletwa!

Kulikuwa na nini kati ya Tanroad ya Mfugale na JPM? Tanroad ilipokea fedha kuleta mtambo wa kutengeneza sukari wa dola milioni 50, haukuletwa!

Kuna wakati nikiona hela zimepigwa hivi huwa nawaza tofauti kabisa
Maana walikufa wengi sijui wengine wanakula raha Copacabana na huku tumeambiwa wamekufa?

Hapana sio kwa waswahili sorry
Ila yanatokea sana nchi zingine ku fake kifo baada ya kupiga hela ndefu
 
Huyu ndiye Rais wa wanyonge, aliyejipambanua kupambana na ufisadi, alidanganya wananchi wa kawaida wakamwamini, mlango wa nyuma alikuwa anafanya kweli. Kazi ya Tanroad ni barabara, lakini Mfugale alikuwa Kila mahali, uwanja wa ndege chato, yupo,standard gauge railway yupoView attachment 2188622
Kwa tuliomfahamu Mfugale, alikuwa mtu wa dhamira njema.
Ila kuna mambo mengi alilazimishwa kufanya na Magufuli.
Hata baada ya mchakato wa kumpata Rais mwaka 2015, alisikika akisema "hawa watu hawajui wanachagua nini"
 
Kama nyinyi ni waadirifu mbona hamkagui akaunti za Kikwete na mali zake zote alizoficha huko DUBAI!! Nyinyi watu ni wapumbavu sana hata hamujiulizi kwanini Kikwete amehakikisha Kinana amerudi CCM na kutangaza kuwa serikali lazima isilikilize amri ya chama!!! Zote hizo ni mbinu za kuitisha serikali ili wapate kukwapua fedha za Nchi!!! Kumbukeni wizi mkubwa kutokea nchini ilikuwa wakati wa utawala wa KIKWETE walipoiba kwenye mabenki fedha wakibeba kwenye sanadarusi na kuzipeleka Ikulu; pia wizi kwa kutumia makampuni hewa walipoiba kule BOT!!!
Ingawa anawahadaa watu kwa kucheka cheka huyu ndiye adui nambari one wa WATANZANIA!!
Ilikuwa Kazi ya Magufuli kukagua,saizi tunawakagua waliopita.
 
Kuna mwizi zaidi ya Kikwete? Kuna mwizi zaidi ya Kinana? Na Mama amewaleta karibu wezi maana yake na yeye ni MWIZI!
Mtaelewa tu, pamoja na kwamba mna akili za darasa la tatu kama marehemu wenu
 
Kwa tuliomfahamu Mfugale, alikuwa mtu wa dhamira njema.
Ila kuna mambo mengi alilazimishwa kufanya na Magufuli.
Hata baada ya mchakato wa kumpata Rais mwaka 2015, alisikika akisema "hawa watu hawajui wanachagua nini"
Yaani, watu hawakujua kuwa wanachagua zimwi
 
Huyu ndiye Rais wa wanyonge, aliyejipambanua kupambana na ufisadi, alidanganya wananchi wa kawaida wakamwamini, mlango wa nyuma alikuwa anafanya kweli. Kazi ya Tanroad ni barabara, lakini Mfugale alikuwa Kila mahali, uwanja wa ndege chato, yupo,standard gauge railway yupo.

====

➡️"TANROAD, watu ambao kazi yao ni madaraja na barabara wanapewa kazi ya kuleta mtambo wa kuzalisha sukari katika kiwanda cha kuzalisha sukari Mkulazi, halafu mtambo wenyewe haujaletwa na fedha zimeshalipwa zote zaidi ya dola milioni 50, hadi leo mtambo haupo" @zittokabwe
View attachment 2188622
Alizimeza zikammaliza.
 
Wewe ndio umejificha. Angalia status yangu. Nkmeishatuma meseji zaidi ya mia ndani ya saa moja. Nakuhakikishia, hata Wayahudi walimpiga vita sana Yesu Kristu, lakini mpaka leo jina la Yesu Kristy linajulikana dunia nzima. Waliomuua hata majina yao hayajulikani. Hivyo, hivyo kwa Magufuli. Jina lake litavuma na kuvuma baada ya miaka 50 kupita.
Jina linaweza kuvuma kwa uzuri au ubaya. Hitler hadi leo ni maarufu lakini sio kwa wema.
Sasa hivi ukaguzi wa mambo mengi unaonyesha Magu alikuwa MWIZI na alitumia washikaji zake kuiba.
Nashauri vile vitu vyenye majina yake wafute hastahili.
Au watangulize neno mwizi, mfano ile stand ya mabasi iitwe Mwizi Magufuli Bus Stand
 
Malizia kwa kusema wakiisha futa majina ya Magufuli waandike ya majina ya babaako. Au vipi!
 
Jina linaweza kuvuma kwa uzuri au ubaya. Hitler hadi leo ni maarufu lakini sio kwa wema.
Sasa hivi ukaguzi wa mambo mengi unaonyesha Magu alikuwa MWIZI na alitumia washikaji zake kuiba.
Nashauri vile vitu vyenye majina yake wafute hastahili.
Au watangulize neno mwizi, mfano ile stand ya mabasi iitwe Mwizi Magufuli Bus Stand
Stendi ya mbezi ya magufuli haijaisha, Hela zimepigwa! Alikuwa mwizi kabisa
 
Aisee Nina hasira Sana na Yule Dictator. Mwizi mkubwa.
 
Na hayo madaraja futeni majina na stendi. Hatutaki kukumbushwa machungu
 
Wapuuuzi tu pekeee na watu wa madili na JF Wasio na kazi na wakaaaa kwa shemeji zao ndio wanaona JPM alikuwa mbaya ila huku mtaaani ni tofauti kabisa maana JF Sindio wawakilishi wrote wa watanzani
 
Back
Top Bottom