Kulipa mamilioni kusomesha 'Generation Z' ni kama kucheza kamari!


Upo sahihi kwa kiasi kikubwa sana mdogo wangu. Nimependa sana unavyo jenga hoja. Ni generation z wachache sana ambao wanaweza kuwa na uwezo wa kujielezea kwa hekima wewe.


Itoshe kusema kwamba wewe ni Great Thinker.

Maxence Melo Muangalie huyu kijana ana kitu ndani yake.

Nakubaliana na hoja zako kwa kiasi kikubwa but kuna maeneo machache kuhusu hoja zako nataka kuyatolea ufafanuzi kidogo.

9. Sababu nyingine ya Life expectancy kuwa chini miongoni wa Genetation Z ni pamoja na poor life style kama vile ulevi, ngono zembe, utumiaji wa mihadarati n.k.

8. Life style ya Generation Z ipo heavily influenced with celebrities life style . Some of them are just smoking and drinking because they have learnt that their favourite celebrities are smoking and or drinking . Mfano Konde Boy etc. They think it is okay to smoke and drink kwa sababu favourite celebrity wao ana drink na ku smoke.

7. Poor health ni kwa sababu ya poor life style.( pia hapa sio tu kuwa blame generation z kwa sababu kama nilivyo sema kwenye bandiko langu awali life style ya Generation Z imekuwa programmed. So poor health inasababishwa pia na mambo mengine kama vile aina ya vyakula mfano G.M.Os na gadgets etc.

5.upo sahihi kabisa u guys are very reckless. Ur lives are moving in the direction of " I don't give a https://jamii.app/JFUserGuide" mentality.

3. Upo sahihi kabisa homosexuality ipo tangu Zamani lakini u guys tend to be more tolerant towards it.

Miaka ya 2000 mwanzoni vijana tulitoka Kinondoni kwenda Temeke kutafuta mademu sasa hivi unasoma mitandaoni vijana wa Gen z anajitangaza mtandaoni wanatafuta mabwana.

Kuna mtu mmoja alikuwa anasema kwa utani siku moja kwamba huu mmomonyoko wa maadili among Generation Z ni laana ya wazazi wa kizazi cha miaka ya sabini, themanini hadi tisini mwanzoni. Wazazi wetu walikuwa wanatuambia ; 1. Msivute bongi, tukawa hatusikii now Generation Z mnavuta unga. Wakatuambia acheni zinaa . Msifanye sex kabla ya ndoa( uhuni na umalaya)hatukuwasikia now Gen Z ni ushoga na usagaji. Msisikilize muziki wa Rap hatukuwasikia now Gen Z mnasikiliza Singeli na Amapiano.

Akasema laana ya Gen Z watoto wenu watakuwa wanauana kwa Risasi kama South Africa au Marekani... na nyie mtakuwa mnalalamika kwanini watoto wenu wanauana kwa sababu za ovyo
 
Hongera
 
Ni kweli kabisa mkuu. So disgusting
 
Nakazia
 
Umejitahidi kujitetea kwa niaba ya Gen Z
 
Kizazi kitakachofuata baada ya Generation Z kitaitwa Generation Alpha
Tupo Generation Alpha inayoishia 2025 (2010-2025) hawa ndio balaa ya wote hao Generation Z wakasome

Alafu kuna Generation Beta 2025-2039 hawa wameprogramiwa wote wawe mashoga na wasagaji kuanzia wakiwa tumboni mwa mama zao

Yaan wameplan ikiwezekana wabuni mradi wamama wanyweshe vidonge vya kuwafanya watoto mashoga (unajua unameza vidonge kuzuia mimba kumbe unatengeneza mazingira ya kuzaa shoga) au wapigwe sindano za kuwafanya watoto wote wa kiume wawe mashoga hiki kizazi Generation Beta ni balaa
 
Ni hatari sana mkuu
 
Kinaitwa New age movement.wazee wa suti wamefaulu kutengeneza watu bandia kizazi robot kisichokuwa na ubunifu wowote
 
Wewe generation Z, uko na akili kuwazidi wenzio wengi.

It's a simple fact, kila kizazi kinachofuatia ni matokeo ya vizazi vilivyopita. Generation Z wanaendeleza yale waliyokuta Millenials na generation X wanafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…