MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Wahindi ni tofauti kabisa.. hawajengi kwasababu historia inaonyesha usalama wao huwa mdogo wakati fulani.. kwa mfano Amin alishawahi kuwatimua Uganda.. hapa nchini pia wakati wa Azimio la Arusha walinyang'anywa majumba na mali zao zingine... na hata miaka ya baadae sana Marehemu Mchungaji Mtikila alikuwa akiwasakama sana na kuwaita magabachori.. kwa hiyo hawawezi risk kwa kujenga mijengo ya kifahari wakati wanaishi kimachale.Mbona haushangai wahindi kibao wana maviwanda na investments nyingi tu hapa bongo lakini wanaishi nyumba za kupanga za NHC?
weka ushahidi maana unaongeza vimaneno utaposanuliwa udhaifu wa hoja zako.
Wewe ni mwanamke?wanaume na midevudevu yenu mnabishania pesa ya mwanaume mwenzenu mara oooh"hana nyumba kapangisha, alisema atanunua rozi rozi mpaka leo hajanunua, etc" seriously!!!? 😂😂😂🙌🚮
Kuna kitu kinaitwa double tax. Ya muuzaji na mnunuziMakampuni yanayompa mikataba ya matangazo ndio yanatotakiwa ku-withhold hiyo kodi, ndio maana ana Jeuri ya kuzungumza hadharani kwasababu jukumu la kupeleka kodi TRA ni la makampuni yanayompa mikataba
samahani kabla sijakujibu, shida yako nini mkuu...Wewe ni mwanamke?
Achana na huyu mkuu. Anajiita IFRS wakati hajui chochote. Anasema ukilipa withholding tax unakuwa umemaliza. Hajui hata withholding tax nini.Kuna kitu kinaitwa double tax. Ya muuzaji na mnunuzi
Samahani mkuu nimekosea kukuquote, kuna username nyingine nilitaka kuiquotesamahani kabla sijakujibu, shida yako nini mkuu...
👍✌Samahani mkuu nimekosea kukuquote, kuna username nyingine nilitaka kuiquote
Huyu mr nice acha tu [emoji23][emoji23][emoji23]Yupo wapi Mr Nice na Q-Chief
Hiyo ni tabia ya baadhi ya wasani tuSijawahi sikia matajiri wa ukweli wakitamba na utajiri wao na kutaja fedha wanazoingiza kwa mwezi n.k.
Sasa hili analifanya Nasibu tuchukulie ni ukumbukeni au kitu gani?
HahahaHuyu mr nice acha tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha mbali sana!
Naskia yuko kenya huko sasa
Ova
Msanii anaishi for fame , asipofanya hvyo anashuka thamani ..... Na makampuni yanamkimbia , kifupi msanii hupambana atrend....Hiyo ni tabia ya baadhi ya wasani tu
Hata marekani kuna wasani utakuta anahojiwa
Huku yeye kashika manoti anayaonesha[emoji23][emoji23]
Ila mimi naona kama ushamba tu ...
Pesa imekosea njia
Ova
Yeah....moja ya mbwembwe zaoMsanii anaishi for fame , asipofanya hvyo anashuka thamani ..... Na makampuni yanamkimbia , kifupi msanii hupambana atrend....
Kwahiyo hela zao zinazunguka tu kwenye biashara ,ila wahindi waoga kuliko waarabuWahindi ni tofauti kabisa.. hawajengi kwasababu historia inaonyesha usalama wao huwa mdogo wakati fulani.. kwa mfano Amin alishawahi kuwatimua Uganda.. hapa nchini pia wakati wa Azimio la Arusha walinyang'anywa majumba na mali zao zingine... na hata miaka ya baadae sana Marehemu Mchungaji Mtikila alikuwa akiwasakama sana na kuwaita magabachori.. kwa hiyo hawawezi risk kwa kujenga mijengo ya kifahari wakati wanaishi kimachale.
Wanajenga kwao, long run project wanazifanyia makwaoKwahiyo hela zao zinazunguka tu kwenye biashara ,ila wahindi waoga kuliko waarabu