Kumbe BongoFleva inalipa!! Diamond Platnumz anaingiza Milioni 200 kwa mwezi kwa matangazo tu

Kumbe BongoFleva inalipa!! Diamond Platnumz anaingiza Milioni 200 kwa mwezi kwa matangazo tu

Mbona haushangai wahindi kibao wana maviwanda na investments nyingi tu hapa bongo lakini wanaishi nyumba za kupanga za NHC?
Wahindi ni tofauti kabisa.. hawajengi kwasababu historia inaonyesha usalama wao huwa mdogo wakati fulani.. kwa mfano Amin alishawahi kuwatimua Uganda.. hapa nchini pia wakati wa Azimio la Arusha walinyang'anywa majumba na mali zao zingine... na hata miaka ya baadae sana Marehemu Mchungaji Mtikila alikuwa akiwasakama sana na kuwaita magabachori.. kwa hiyo hawawezi risk kwa kujenga mijengo ya kifahari wakati wanaishi kimachale.
 
Makampuni yanayompa mikataba ya matangazo ndio yanatotakiwa ku-withhold hiyo kodi, ndio maana ana Jeuri ya kuzungumza hadharani kwasababu jukumu la kupeleka kodi TRA ni la makampuni yanayompa mikataba
Kuna kitu kinaitwa double tax. Ya muuzaji na mnunuzi
 
Sijawahi sikia matajiri wa ukweli wakitamba na utajiri wao na kutaja fedha wanazoingiza kwa mwezi n.k.

Sasa hili analifanya Nasibu tuchukulie ni ukumbukeni au kitu gani?
Hiyo ni tabia ya baadhi ya wasani tu
Hata marekani kuna wasani utakuta anahojiwa
Huku yeye kashika manoti anayaonesha[emoji23][emoji23]
Ila mimi naona kama ushamba tu ...
Pesa imekosea njia

Ova
 
Hiyo ni tabia ya baadhi ya wasani tu
Hata marekani kuna wasani utakuta anahojiwa
Huku yeye kashika manoti anayaonesha[emoji23][emoji23]
Ila mimi naona kama ushamba tu ...
Pesa imekosea njia

Ova
Msanii anaishi for fame , asipofanya hvyo anashuka thamani ..... Na makampuni yanamkimbia , kifupi msanii hupambana atrend....
 
Wazee wa kutakatisha..washkuru tu walikuepo kwenye kampeni ya ccm..
 
Wahindi ni tofauti kabisa.. hawajengi kwasababu historia inaonyesha usalama wao huwa mdogo wakati fulani.. kwa mfano Amin alishawahi kuwatimua Uganda.. hapa nchini pia wakati wa Azimio la Arusha walinyang'anywa majumba na mali zao zingine... na hata miaka ya baadae sana Marehemu Mchungaji Mtikila alikuwa akiwasakama sana na kuwaita magabachori.. kwa hiyo hawawezi risk kwa kujenga mijengo ya kifahari wakati wanaishi kimachale.
Kwahiyo hela zao zinazunguka tu kwenye biashara ,ila wahindi waoga kuliko waarabu
 
Back
Top Bottom