MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Wahindi ni tofauti kabisa.. hawajengi kwasababu historia inaonyesha usalama wao huwa mdogo wakati fulani.. kwa mfano Amin alishawahi kuwatimua Uganda.. hapa nchini pia wakati wa Azimio la Arusha walinyang'anywa majumba na mali zao zingine... na hata miaka ya baadae sana Marehemu Mchungaji Mtikila alikuwa akiwasakama sana na kuwaita magabachori.. kwa hiyo hawawezi risk kwa kujenga mijengo ya kifahari wakati wanaishi kimachale.Mbona haushangai wahindi kibao wana maviwanda na investments nyingi tu hapa bongo lakini wanaishi nyumba za kupanga za NHC?