Kumbe dunia inaweza kuwa na njia fupi (shortcut) tukaachana na usafiri wa ndege

Theoretically yes, practically zilch. Nadhani akina Pythagoras wangeyaona na kuyatolea nadharia
 
 
Wanaokubeza ni wapuuzi.
Binafsi nimeyapenda mawazo yako.

Na asante, nimelielewa na tangazo.
 
Nashangaa kwa ujuzi ulio nao bado hujauliza swali kwamba kama dunia ni tufe kama chungwa, kwa nini hatuanguki tunapotembea juu yake?

Na nikuulize swali, kama tukitobia dunia, na umeshasema Diameter ya dunia ni sijui 127,000km, basi tutasafirije hizo km 127000 kwa dakika 20 hadi 25 tu?

Swali jiingine, joto la volkano na geothermal vinatoka wapi?

Sasa tangulia katoboe, ila angalia hii picha hapa chini itasaidia kukupa ramani ya kutoboa

 
bange,yani tutoboe shimo hapa Temboni tutokee Ubelgiji kweli?
Unajirusha tu vyuuuuuuuuuu bila nauli unatokea zako mbele?
Bangi hizi
hapo sayansi inakataa ,, kulingana na fiziksi na jiografia yangu ya chini ya mti nafaham kuwa endapo utachimba shimo litakalo toboa dunia pande zote mbili halafu ukatumbukiza kitu katika shimo hilo , kitu hicho kikifika katikati hakitoweza kutoka kwasababu kitakuwa kinavutwa na kani ya uvutano wa dunia (force of gravity).
kwa misingi hiyo hakuna mtu atakae weza penya kutoka pande moja kwenda nyingine kupitia himo ulilolichimba. hapo tumeweka assumption kwamba dunia ni abisi(solid state)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…