Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
Kwa walioisoma yote, huyu ni Genius au ni Bangi???
Nilidhani niko mwenyewe😀😀😀😀 ,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa walioisoma yote, huyu ni Genius au ni Bangi???
Hii ni bangi ya malawi kabisa, sijawahi kuna mtu anawaza upumbavu hivi, mi nilijua anawaza juu ya kugundua vyombo ambavyo ni sonic vyenye kasi kuliko ndege za kawaida kumbe anawaza ujinga tuKwa walioisoma yote, huyu ni Genius au ni Bangi???
Jaman! Mbona makasiriko ugumu wa maisha upo kotendio maana umeonekama DENKETE yaani nusu SONJI , sasa utaandikaje mawazo yako halafu mwishoni unayapinga mwenyewe kwamba haiwezekani! Zimo kweli, itoshe kusema BANGI
Anaitumia akili yake kufikiri na kukufikirisha msomaji, ni juu yako kufuatilia au kudharau.Kwa walioisoma yote, huyu ni Genius au ni Bangi???