Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 486
- 1,237
- Thread starter
- #81
Au toboreshe teknolojia ya kupaa na ungo kama haina madharani bora ungetubia habari zakupaa kwa kutmia yai la bundi tungekuelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au toboreshe teknolojia ya kupaa na ungo kama haina madharani bora ungetubia habari zakupaa kwa kutmia yai la bundi tungekuelewa
Sipendezwi na namna mnavyoisingizia bangi na kuhusishwa na vitu afanyavyo kijana hovyo mwenye mchango mdogo sana ktk TaifaNi mpuuzi mmoja anae endeshwa na bangi
wewe sasa ndiyo umepiga vizuriSawa, lakini hiyo effect nyie mnaongelea kwenda juu. Hapa tunaongelea ku-drop kitu toka juu kwenda chini shimoni, uki-assume kuwa ili uende upande wa pili wa dunia "unatumbukia kwenye shimo" kwa hiyo "g" itaongezeka badala ya kupungua.
In reality, at some point hata "ukitumbukia" kwenye shimo ili uende nchi iliyo upande wa pili wa dunia, at some point itabidi "upande juu" kwa kuwa ule upande wa pili utochomoza toka ndani ya shimo kwa kwenda juu. Complicated.
Hapana sio bangi, hata namna technology ya leo ilivyokuja mawazo yake yalianza kama bangi.bange,yani tutoboe shimo hapa Temboni tutokee Ubelgiji kweli?
Unajirusha tu vyuuuuuuuuuu bila nauli unatokea zako mbele?
Bangi hizi
Aaaah wapi jamaa hajaichambua vizuri hivyo ni bangi chafu tu🤣Kwa walioisoma yote, huyu ni Genius au ni Bangi???
Ni genius.Kwa walioisoma yote, huyu ni Genius au ni Bangi???
Quran imesema hivo wapi? Weka ayaSasa Koran inasema dunia ina umbo la yai, Sasa jua linaenda kuzama kwenye matope ambayo yapo wapi katika ili yai?
Msamaha tafadhali bwana mkubwaSipendezwi na namna mnavyoisingizia bangi na kuhusishwa na vitu afanyavyo kijana hovyo mwenye mchango mdogo sana ktk Taifa
Ana wazo zuri...Kwa walioisoma yote, huyu ni Genius au ni Bangi???
Tatizo ni hiyo teknolojia ya kuitobolea ndo shida ilipo!Kama kweli dunia ni duara bas kuitoboa inawezekana na tukapata shortcut ila kama ni uongo siyo duara Hatuwez kupata shortcut kwa kuitoboa,inawezekana dunia siyo duara
Wote hatuwezi kuwa wasomj mkuu! Kazi za mwingine nani angefanya? Naomba kazi broWakati wenzio wanasoma ulikuwa unawaza kiporo cha wali maharage ulichokiacha home
ndio maana umeonekama DENKETE yaani nusu SONJI , sasa utaandikaje mawazo yako halafu mwishoni unayapinga mwenyewe kwamba haiwezekani! Zimo kweli, itoshe kusema BANGIUmesoma vizuri hadi mwisho?