Hii ni bangi ya malawi kabisa, sijawahi kuna mtu anawaza upumbavu hivi, mi nilijua anawaza juu ya kugundua vyombo ambavyo ni sonic vyenye kasi kuliko ndege za kawaida kumbe anawaza ujinga tu
ndio maana umeonekama DENKETE yaani nusu SONJI , sasa utaandikaje mawazo yako halafu mwishoni unayapinga mwenyewe kwamba haiwezekani! Zimo kweli, itoshe kusema BANGI