Lakini wewe ni mtu mzima mbona unakuwa mpumbavu?Wote wajinga tu hapo.. ukiwauliza wanatokea kabila gani kati ya yale 12 wanabaki wanambwirambwira tu
Huo ni ushetni!Tuseme ni Judaism ni dini ya kibaguzi au Wayahudi ni wabaguzi. Kwa yeyote aliyewahi kuishi China au Japan ni kwamba hawamjui Yesu lakini hawabagui Mwafrika kwa dini wala rangi yake. Ukitaka tunda unatafuna Tu. Njoo Uarabuni wewe ngozi nyeusi uombe tunda kama hutanyongwa hadharani.
Taja ndugu yako alieuwawa na waislamIla waislam wanaunda vikundi kutuua hawa watu wabinafs kama wayaudi tu
Utaungaje mkono mtu hakutaki kama sio ujuha?Tanzania hakuna wayaudi , watu wanaunga mkono kama watu wengine dunian sio kwa imani yao , nyiny ndo mnasapoti ugaidi kwa kigezo cha dini
Tanzania hakuna wayaudi , watu wanaunga mkono kama watu wengine dunian sio kwa imani yao , nyiny ndo mnasapoti ugaidi kwa kigezo cha dini
Soma uelewe na sio kwa ushabiki ili utambue nani anafadhili ugaidi.Sijawai isapoti israel kwa kigezo cha dini maana sio moja na sisi wakristo ila tuwaulize nyiny kwann mnawakumbatia hao waarab wanaofadhiri ugaidi baran afrika ? Tanzanite inauzwa Saudia Arabia imefikaj kule ? Mali zetu nying zinaibww kiharam hlf zinauzww huko Saudia Arabia , je zimerikaje kule , nini maslai yao kufadhiri ugaidi afrika , ukijibi ndo tuendelee wazungumzia ambao huenda hata hujawai waona
Nisome nini wakati mali zetu zinauzwa saudia arabia na uchina bila kujulikana zimetokaje africa au unataka kusema nini hapo? , tatizo lenu ni ushabiki mwingi hata kwa vitu mnaviona ,mme kuwa watu wa udaku zaid kuliko uhalisia , SIKU MKIACHA USHABIKI MAANDAZI NDO ITAKUWA KWANZO WENU WA KUPIGA HATUA KIUCHUMI NA KISIASA PIASoma uelewe na sio kwa ushabiki ili utambue nani anafadhili ugaidi.
Kwa kusikiliza tu yanayosemwa na vyombo vya habari utaamini kama ulivyo, lkn ukisoma na kuzingatia utajua ukweli
Islam's walikuwa fixed. Now ndo wanaanza STUKA viongozi wao wa juu wanasalite Kwa Popee,Ila waislam wanaunda vikundi kutuua wakristu halaf hapa wanataka waonekane wema kuliko hao wayaudi ambao wanayafanya hayo wakiwa kwao huko
UKWELI Huwa unajisimamia.Daah....
Watu wa aina yako ndio mnaoupotosha ukristo.
Muombe Mungu akufunulie uisome Biblia na uielewe.
Hata simu na magari tumeletewa,tuunde vyeti tusinyanyasikeHaya mambo ya dini tumeletewa tu, hata ubaguzi wa kule wanakoendaga ndugu zetu KUHIJI ni wa kiwango cha SGR, dada zetu hata wa Imani yao wamenyanyaswa sana na kubaguliwa wakienda huko kufanya kazi, hata Morocco ilipoingia nusu fainali ikadai ushindi wao unawakilisha nchi za kiarabu na sio Afrika. Watu weusi maskini kwa kujua au kutojua huwa wanajipendekeza sana kwa wayahudi na waarabu, wakati wenzao wanawaona kama wanyama pori tu. Ni vile watu wengi hawasafiri sana hivyo wengi hawajui kinachoendelea huko duniani.
Hakuna Mkristo wala Muislamu anaewashobokea WayahudiKiufupi watu wa dini nyingine zote mnajipendekeza tu kwao, wala hawana habari kabisa na ukristo wala uislam
Wakristo gani wasioamini Utatu wakati Utatu upo kwenye BibliaWakristo ktk Imani tunaamini Mungu ni MMOJA hivyo tunashabiiana, utatu ni wacatokicano,
Masihi maana yake ni Mwana wa Mungu na ni Mungu hivyo Islam na waliookoka tupo pamoja.
Amen.
Issa na Yesu ni watu wawili tofauti kabisaUmemaliza vibaya.
Waislamu na christians wanashabiiana ktk mengi kuliko Judaism na wayahudi.
Islam's na christians wanamtambua Yesu/ISSA kuwa ndiye MESSIAH.
(1 Yohana 5:8)Wapo watatu washuhudiao Mbinguni, Baba, Neno na Roho mtakatifu, na hao watatu ni UMOJA.Wakristo gani wasioamini Utatu wakati Utatu upo kwenye Biblia
Kila watu wapo hivyo mfano wavaa kobazi huwaambii kitu kuhusu waarabuHoja ni wayahudi hapa
Tetea hoja
SawaKila watu wapo hivyo mfano wavaa kobazi huwaambii kitu kuhusu waarabu
Hawaaminishi Mungu ni watatu wao wanamaanisha kani au nguvu au mamlaka ya utendaji lakini Mungu ni Mmoja.(1 Yohana 5:8)Wapo watatu washuhudiao Mbinguni, Baba, Neno na Roho mtakatifu, na hao watatu ni UMOJA.
Wapo pia watatu washuhudiao duniani, Maji, Damu na Roho. Na hao watatu ni UMOJA.
Hivyo, BIBLIA imesema watatu Si Utatu.
Maji, Damu na Roho ndo mtu na havitenganishiki. Ni UMOJA.
Walioleta habari za utatu walifanya makusudi Ili kuingiza mfanano wa miungu Yao, muungu mke, mama wa Makahaba wa kuzimu ambaye wanazuga ni Mary wakati deep down ni huyo jezebeli, mungu mke. Zamani catolicano ktk utatu wao walimweka Mary aabudiwe, BAADAYE ndo wakaweka Roho mtakatifu.
Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.
Amen
Akikujibu nitagTaja ndugu yako alieuwawa na waislam
Au hata kama kuna jirani yako alizabwa hata Kofi na Muislam
Acha chuki za kijinga wewe
Wanaouwa wana malengo yao na sio uislam
Haya makanisa yanayoibuka kila leo mara mchungaji anawaambia wavue chupi mbele ya waume zao
Wengine wakifunga mpaka kufa na wengine walipewa mpaka jiki wanywe ili wasafishe dhambi
Hao ni wakristo kama wewe?
Moja kati ya mambo ya kishamba ni kupeperusha bendera za Israel kwenye nyumba za ibada nyumba za kuishi na magariAjabu kuna ndugu zako wamezaliwa kyela na Tandale wanaweka bendera za Israel kwenye nyumba za Ibada na magari...