Kumbe Hasidic Jews (Wayahudi wenye msimamo mkali) ni watu wa ovyo sana

Kanye west aliwahi sema Hitler kuna baadhi ya mambo alikuwa sahihi.

Wakamsulubu kweli kweli.

Dunia haitaki kusikia ukweli. Ukisa ukweli unakuwa adui kwa Kila mtu. Dunia inapenda uongo na unafiki
 
Umeandika kweli tupu ila ndugu zetu wakristo hawafahamu hili.
 
Kwahiyo google ikisema gadafi ni gaidi wewe unakubali? Au ikisema waislamu ni magaidi utakubali?
Hapana siwezi kukubali ila ina vyanzo vingi pia kama wao wenyewe kusema hawakubali kuwa Jesus is God
Na kwao kuna dini zote 3
Kueleweshana ni elimu tosha
 
Kwahiyo sio kwamba kila unachokisoma google ni chakweli si ndio?
Mengine ni fake na mengi ni kweli
Jukumu letu ni kutafuta penye ukweli kwa kuangalia Habari kama ni kweli au uongo

Na ukijiridhisha unaamini
Kuna watu hawaamini kama holocaust ilitokea tena huwaambii kitu

Kuna wengine wanapinga vita vya kwanza havikutokea bali ni hadithi

Kila mmoja akili yake inakomtuma tu
Na mimi nachambua pia
Kama unavyoamini wewe Kuna wengine hawaamini
 
Lakini wewe ni mtu mzima mbona unakuwa mpumbavu?
Isitoshe una degree ya Tumaini university kabisa ila bado mjinga

Uyahudi ulianza lini na ulitokana na nini unafahamu?
Achana na maufala yao wako hivyo siku zote
Myahudi (Jew)? Je Abraham alikuwa jew au Hebrew (Habiru??) Acha ujinga wewe
 
Kuna wakati huwa inashindwa kuelewa vitu vidogo. Ukristu na dini ya Kiyahudi zina tofauti kubwa katika mafundisho na kile wanachokiamini. Ukristu unamtambua Yesu kama nafsi ya pili ya Mungu, na alizaliwa eneo hilo. Hata Israeli ingekuwa chini ya wabudha, bado Ukristo ungeendelea kuheshimu historia ya maeneo hayo kwamba ndipo Yesu alizaliwa na ni yeye aliweka misingi ya Ukristu .
Hata Waislam wanataka historia ya maeneo haya itunzwe kwa sababu wanaamini ndipo Muhammad alipaa, (ingewaje hili halina ushahidi wowote ).
Nje ya hapo ha

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Mungu anamuomba Mungu mbona jamaa unanichanganya maana Yesu alikuwa anaomba

Mungu jina lake ni Jehovah

Mungu haombi na hana wa kumuomba sisi ndio tunamuomba
 
Mungu anamuomba Mungu mbona jamaa unanichanganya maana Yesu alikuwa anaomba

Mungu jina lake ni Jehovah

Mungu haombi na hana wa kumuomba sisi ndio tunamuomba
Jina la Mungu ni YESU.

Ndilo JINA lipitalo majina yote. Alilazimika kusema baba sababu alikuwa duniani katk mwili, hata wayahudi walijua ni mwana wa Yusufu seremala.

Hivi Leo tunavyoongea ndiye aketiye kwenye KITI Cha enzi, ndiye Mungu mkuu.

Mungu akufunulie Siri hii upate Amani.

Amen
 
Siasa kali zipo kwenye kila dini
 
Kama Imani yao ipo karibu sn na uislam iweje ss kila siku inawauwa hao ndugu zao wapalestina ambao wapo karibu nao kiimani?
 
Sasa mungu wanaye mwabudu Kama amewa ruhusu wafanye hivi huyo mungu so atakuwa ndiyo shetani mwenyewe au🤔🤔
 
Na ndiyo ukweli. Tunastahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…