Kumbe hata Ulaya hakuna Uhuru wa kutoa Maoni, Wanaounga mkono Hamas na kuikosoa Israel wanapigwa rungu

wapalestina kwao ni wapi?
waisrael kwao ni wapi?.

sidhani kama yanatuhusu, tuwaenzi babu zetu akina Mkwawa waliokataa ukoloni, haya mengine hayatuhusu.
 
Wapalestina Wenyewe hilo wanalielewa vizuri ila wanadai Wana sehemu ya Urithi wa Esau

Ikumbukwe Esau alimuoa mtoto wa Ishmael Baada ya kuingizwa mjini na Israel ( Yakobo)
achana na hadithi za kusadikika kwanza,mtu avamie shamba lako afu aseme MUNGU alimpa urithi utamuelewa?
 
Kama ambavyo walikaa kimya hamas walipoanza mashambulizi kuua raia, basi na sasa wake kimya.
Tunapoteza sympathy nao Kwa sababu hatukuwahi kuona wakilaani magaidi kama Al shabab, is, n.k
 
Ulaya walifanya kosa kubwa sana kuwakaribisha waarabu.

It’s too late now wajiandae kwa mabomu ya kujitoa mhanga
 

Israel ni mvamizi Mkuu.
Ni sawa useme Wahindi wekundu waende wakawatoe Wamarekani Hapo USA.
 
Mkuu nakuaminia, fatilia Kwa makini. Hakuna anayeunga mkono palestina anabugudhiwa, wanaobugudhiwa ni wale wanaounga mkono kikundi Cha kigaidi HAMAS. Ni sawa na uunge mkono alkaida utegemee kuchekewa

Nani anayesema Hamas ni magaidi?
Tanzania ilivyojilinda na Idi Amini tulikuwa magaidi?
 
Wanaupinga Israel kwenye Nini?. Maana Israel ndio kachokozwa. Israel angekaa kimya? Punguza unafiki.

Israel ndio kavamia nchi ya Watu.
Ni sawa sasa hivi UN iamue kutuletea Jamii fulani ya Watu kisha nchi yetu igawanywe. Unafikiri tutakubali?
Hata kama UN watatumia mabavu lakini itabaki kuwa hatutakubali na itakuwa ni mgogoro usioisha
 
Sasa Hao waandamaji si waende Gaza.Wanakimbilia ulaya toka uarabuni baada ya kukinukisha kwao halafu wanaleta vurugu nchi za watu🤔

Wanafuata sheria za nchi hizo kuwa maandamano ni sehemu ya haki zao kimsingi
 

Hao wazungu wakivamia na kuua Watu mbona sio ugaidi?
 
Umeangukia kwenye propaganda, wale hawaungi mkono hamas, wanaunga mkono palestine,

Ndo mana hata bendera wanayoipeperusha ni ya Palestine sio hamas.
 
Machadomo ndio Hawa yanadanaganya wajinga.

Serikali iwashugulikie imagine watu wanahubiri kutengana kati ya Tanganyika na Zanzibar watu wa hivi Nyerere alifukuza Nchini na sio wa kuwachekea
 
Wapalestina Wenyewe hilo wanalielewa vizuri ila wanadai Wana sehemu ya Urithi wa Esau

Ikumbukwe Esau alimuoa mtoto wa Ishmael Baada ya kuingizwa mjini na Israel ( Yakobo)
Hupo sahihi,maandiko yote yanaonesha ugomvi ni baina ya Esau(Edomu)na Yakobo(Israel).
 
Kwa nini wavamie?
Madai ya hiyo nchi kuwa ni yao na sio ya Wayahudi mbona hayazingatiwi?
Nchi yao walipewa na nani? Tutakaa kutatua mgogoro huu kwa mlengo wa dini tunatoa lawama kwa mlengo wa dini basi mvamizi atajulikana, ili dunia pawe mahali salama pa kuishi basi watu na wakae pamoja washaurine na wamalize tofauti zao kwa amani. Yaani wewe unau watu maelfu wako wakishambuliwa na kuuliwa inalalamika! Muuaji naye upanga uumpitie hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…