Kumbe hata Ulaya hakuna Uhuru wa kutoa Maoni, Wanaounga mkono Hamas na kuikosoa Israel wanapigwa rungu

Ugomvi huo wala haumuhusu Ishmael,wanaopigana hapo ni mapacha wa tumbo moja,Esau (Edomu)na Yakobo(Israel).
Hakuna maandiko yoyote yanayo onesha Ishmael kuwa na ogomvi na Isaka.
Sara alimwambia Ibrahim Mfukuze Hajira na Ishmael kwa sababu mwanangu Isaka hatarithi pamoja na Mwana wa Kijakazi

Wakati Isaka anazaliwa Ishmael alikuwa na miaka 13 alimfanyia dhihaka Sarah Wakati akifurahia kujifungua mtoto ambaye ni Isaka

Someni Bible Vijana Mwanzo 22 πŸ˜€πŸ˜€
 

Kwani hii nchi ya Tanzania tulipewa na nani?
Au kule usukani walipewa nani ile ardhi?

Wayahudi ni wachokozi. Tangu Babu yao Ibrahim aliwakuta wenyeji wa nchi hiyo. Huwezi sema nchi yako wakati umekuta wenyeji hapo
 

Wakati Ibrahim anaingia hapo Kanaani hakukuta wenyeji?
 
Dunia ya double standards hii
Haki ipo mbinguni tu !
Huku kwingine ni Abracadabra kwa kwenda mbele !!
 
Dunia ya double standards hii
Haki ipo mbinguni tu !
Huku kwingine ni Abracadabra kwa kwenda mbele !!

πŸ˜€πŸ˜€
Watu wanawataka sijui kina Yesu sijui kina Zaidi. Lakini wanagoma kurudi nyuma kabla ya kina Ibrahim hiyo nchi ilikuwa Mali ya nani
 
Hao Hamas unawafahamu?.Au ukisikia hamasi unafikiri ni jeshi la nchi.Jielimishe kwanza kabla yakuonyesha uekewa wako hadharani.
 
Ulaya walifanya kosa kubwa sana kuwakaribisha waarabu.

It’s too late now wajiandae kwa mabomu ya kujitoa mhanga

Akili finyu tuh, sijui why mnamuogopa mwarabu Kwa kiwango Hiko....

Mwisho wake mje mseme kwamba wanaomwaga damu huko Russia na Ukraine ni waarabu,mjifunze kuangalia mambo Kwa kutazama chanzo Cha tatizo kwanza.
 
Hata Mbowe alipopambana na Ole sabaya aliitwa Gaidi na kutupwa jela

Tuongee kwa mfano hai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…