Basi kama ni hivyo huu ni ushenzi yanini kusumbuana na kupotezeana mudaHujaelewa nini ndg. Ni kwamba Tume inafuata maelekezo ya nini wafanye ili kuhakikisha CCM inashinda Uchaguzi Hakuna Cha professionalism hapo
Ndio maana takwimu zao zimepishana na idadi ya sensa ya 2022,inaonekana NEC walichota orodha kutoka NIDA bila kuhariri kwa kuondoa watu waliokwisha kufa yaani idadi ya NEC imekuwa kubwa kuliko SENSA
Jukumu la kuondoa waliopoteza sifa za kupiga kura(mfano waliofariki n.k) ni la jamii husika kuanzisha michakato huo wa kuomba kufuta, Sasa kama jamii haitaanzisha mchakato iNEC hawawezi kurupuka tu wakafuta taarifa
Asa tume inayoongozwa na majaji kabisa wanashindwa hata kuandikisha wapiga kura jamani hadi wachukue ya nida??? This is shame!!
CHAUMMA wapewe tu hakuna namnaHata Chauma unaweza kuambiwa wamepata kura mil 7.5 hivyo kustahili viti maalumu bungeni, na hata kumegewa majimbo. Nchi ngumu sana hii
Nimeelewa kwa nini Kailima aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani kapelekwa kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi
NIDA wapo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani alafu Kailima ndo alikuwa akiisimamia. Saivi yupo tena Tume ya Uchaguzi.
Nchi hii kuna wapuuzi wachache wameshatuona Wananchi wote hamnazo.