Sio kuchukua tu bali na kuunganisha na Database za LumumbqKwa kweli nilishangaa sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana.
Ila Leo nimegundua ya kwamba INEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
Ninaiomba Tume ya Uchaguzi ilete takwimu sahihi ya waliojiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
Hawa wahuni unaweza kuta wameniweka kama mpiga kura wakati sijajiandikisha.Kwa kweli nilishangaa sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana.
Ila Leo nimegundua ya kwamba INEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
Ninaiomba Tume ya Uchaguzi ilete takwimu sahihi ya waliojiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
kwa sababu chama dola,chama na serikaliKwa Nini mkuu. Kwangu linashangaza maana hata watu wakigoma kwenda kupiga kura mfumo utawapigisha kura kwa lazima.
Unapigishwa tuHawa wahuni unaweza kuta wameniweka kama mpiga kura wakati sijajiandikisha.
BAO LA MKONO.🫵Kwa kweli nilishangaa sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana.
Ila Leo nimegundua ya kwamba INEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
Ninaiomba Tume ya Uchaguzi ilete takwimu sahihi ya waliojiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
Ndio maana yake, yaani unapigishwa kura wewe ukiwa nyumbaniHawa wahuni unaweza kuta wameniweka kama mpiga kura wakati sijajiandikisha.
CHAUMWA na ACT ni branch zetu.Si wapewe tu Sasa hivi baadala ya kuchezesha watu Utapeli wa kupiga kura.
Ndio maana wamechukua hadi majina ya wafu wameweka mle, unawachukua akina Mwashamba wakusaidie ujinga??Kwa kweli nilishangaa sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana.
Ila Leo nimegundua ya kwamba INEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
Ninaiomba Tume ya Uchaguzi ilete takwimu sahihi ya waliojiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
Na itakuwa hivyo. Wahuni!Hata Chauma unaweza kuambiwa wamepata kura mil 7.5 hivyo kustahili viti maalumu bungeni, na hata kumegewa majimbo. Nchi ngumu sana hii
Wakaweka hadi Wafu ila MUNGU fundi sana kawaumbua mapemaNimeeleza mara kadhaa humu kuwa ni utaahira mkubwa sana kwenda kupiga kura kwani tayari matokeo ya kinachoitwa uchaguzi yako kwenye servers za INEC, nilistuka sana na ile idadi ya wapiga kura m37 kumbe wamechota toka NIDA.
kale kasela kamekaa kijanja janja sana 😅katapeli kaleYule mwenyekiti wa INEC sura yake tu ni ya kitapeli.
Kuna ubaya gani wakichota taarifa toka NIDA hata ikiwezekana wachote taarifa NECTA tuone na matokeo yako ya form 4 ulivyozungusha ZIRONdio maana wamechukua hadi majina ya wafu wameweka mle, unawachukua akina Mwashamba wakusaidie ujinga??
Kabisa, maana idadi ya watu iliyoonekana kwenye vituo vya kura haijashabihiana kabisa na idadi ya iNEC. Polepole amesema ukweli huu maana ndio walichofanya uchaguzi wa 2020 alipokuwa na MagufuliKwa kweli nilishangaa sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana.
Ila Leo nimegundua ya kwamba INEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
Ninaiomba Tume ya Uchaguzi ilete takwimu sahihi ya waliojiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
Kashaomba Msamaha tayariKabisa, maana idadi ya watu iliyoonekana kwenye vituo vya kura haijashabihiana kabisa na idadi ya iNEC. Polepole amesema ukweli huu maana ndio walichofanya uchaguzi wa 2020 alipokuwa na Magufuli
Mifumo inatakiwa isomane RITA,NIDA.NECJukumu la kuondoa waliopoteza sifa za kupiga kura(mfano waliofariki n.k) ni la jamii husika kuanzisha michakato huo wa kuomba kufuta, Sasa kama jamii haitaanzisha mchakato iNEC hawawezi kurupuka tu wakafuta taarifa