kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
- Thread starter
-
- #41
mkuu wewe huwa mambo unayachukulieje πππππMkuu kwa jinsi huwa nachukulia mambo sioni kama nimepigwa za uso ,ila kwa mwingine ingekua ni zaidi ya kupigwaππ
Niposwe kisa sitaki kuwa dhaifuNi swala mda tu utakuja kuposwaπ₯Ά
Na wewe umepigwa za uso nini?πππmkuu wewe huwa mambo unayachukulieje πππππ
mimi bwana mkuu nina 27 na bado sijaona na nina kila kituNa wewe umepigwa za uso nini?πππ
kufanya mapenzi ndiyo Nature sio kuoaπ€£Uwezi ikimbia nature....oa au olewa
Kumbe una miaka 27 ungekua na miaka 40+ hoja yako ingekua na mashiko Ila endelea Kula nyeto kwanzamimi bwana mkuu nina 27 na bado sijaona na nina kila kitu
Kila kitu ukimaanisha nini boss?mimi bwana mkuu nina 27 na bado sijaona na nina kila kitu
Kila kitu ukimaanisha nini boss?
Ukiwa na akili kidogo ndo uoe mwanamke mmoja ila ukiwa na akili nyingi uoe wanne kwenda mbeleUkiwa huna akili usioe, imeandikwa ishini nao kwa akili.
sasa nyeto mimi za nini wakati ni nagonga madeni ambayo wewe ukiwao huwa unasema kuna watu wanakujoa pazuri πKumbe una miaka 27 ungekua na miaka 40+ hoja yako ingekua na mashiko Ila endelea Kula nyeto kwanza
π€π€π€π€π€Ukiwa na akili kidogo ndo uoe mwanamke mmoja ila ukiwa na akili nyingi uoe wanne kwenda mbele
Hatujisifii kuhusu matumizi wanaume, tunajisifia kuhusu uwekezajisasa nyeto mimi za nini wakati ni nagonga madeni ambayo wewe ukiwao huwa unasema kuna watu wanakujoa pazuri π
πππππHatujisifii kuhusu matumizi wanaume, tunajisifia kuhusu uwekezaji
Sawa mkuu hongera sanahealth
Job
shelter
king of master piece
mkuu asilimia 80 ya wanaume walio kwenye ndoa ni dhaifuUkifikisha miaka 45 ndio uje utoe ushuuda. Sasa ivi wewe bado mdogo sana kutuita sisi wadhaifu.
min -me umekua fair sana sana leo kwa huu mtizamo wako. Aisee, endelea kutokunywa bia..π€£Japo mimi sijaoa na sitaoa ila kuoa na kumiliki mke na familia sio jambo dogo, ni watu wenye upeo wa juu wa kujua namna ya kuweka hali yoyote katika msawazo / balance , na mara nyingi wanafaa hata kuwa viongozi wanchi.
Umeongea fact mkuuJapo mimi sijaoa na sitaoa ila kuoa na kumiliki mke na familia sio jambo dogo, ni watu wenye upeo wa juu wa kujua namna ya kuweka hali yoyote katika msawazo / balance , na mara nyingi wanafaa hata kuwa viongozi wanchi.