Unamwiga babako siyo. Ana mafanikio sawa. Kayapataje?Binafsi najivunia sana baba yangu, mzee wangu ni mwanaume halisi kabisa kwanza hajawahi kuniambia hata siku moja eti ooh mwanangu mbona bado ujaoa never na nahisi atoniambia kwa sababu hata yeye mwenyewe hajawai kuoa
Na kuna utofauti mkubwa sana nikimuona baba na ndugu zake yeye ana mafanikio makubwa kuliko ndugu yake yoyote na kwa point hiyo nikaona kuona ni kwa ajili ya wanaume dhaifu View attachment 3198595
Zezeta huwezi kuwa na akili za kukaa na mwanamke.Na UKIWA ZEZETA OA.
Hàya matusi makubwa Hivyo kwa mleta mada ya nini? Kakukosea nini?Unamwiga babako siyo. Ana mafanikio sawa. Kayapataje?
Baba bwabwa na mwanawe unataka kuwa bwabwa. Baba na mwana wote bwabwa. Kuna siku mtamalizana wenyewe.
Kila la heri bwabwas.
Wewe ni pacha wangu kabisa hapa duniani yaani huwa tunawashauri watu hiki hiki kitu,, lakini sasa ujumbe wetu ulivyo na nuksi haufiki kwa walengwaMans weakness is to his family,ila mkuu kuwa na familia ni jambo jema zaidi,chukua mwanamke lipa mahali tulia usifunge naye ndoa ya serikali wala ya kidini..mana wakaipata cheti hujiona wamefika
Mtu dhaifu kwenye kujenga hoja siku zote hujaza upumbavu wa matusi kichwani na huona ni ufahari sana kuyasema kwenye jamiiHàya matusi makubwa Hivyo kwa mleta mada ya nini? Kakukosea nini?
alishamuona mzee wake anatukanwa mbele yake sasa hapo unadhani kuna nini tena ?Hàya matusi makubwa Hivyo kwa mleta mada ya nini? Kakukosea nini?
🫱🫲Mtu dhaifu kwenye kujenga hoja siku zote hujaza upumbavu wa matusi kichwani na huona ni ufahari sana kuyasema kwenye jamii
Hata pale pasipostahili kuonyesha upumbavu wake..
Japo hayatamdhuru mleta mada lakini huyu jamaa alietukana ni mfano wa watu wa kuepukwa sana kwenye jamii.
Namuona AY, Alikiba na stamina huyo mwingine ni nani?
Huwezi kuwa kiongozi wa nchi Kama huna mke. Kumiliki na kuiongoza familia ni kipaji ama ni uongozi toshaJapo mimi sijaoa na sitaoa ila kuoa na kumiliki mke na familia sio jambo dogo, ni watu wenye upeo wa juu wa kujua namna ya kuweka hali yoyote katika msawazo / balance , na mara nyingi wanafaa hata kuwa viongozi wanchi.
Ego is the EnemyHuwezi kuwa kiongozi wa nchi Kama huna mke. Kumiliki na kuiongoza familia ni kipaji ama ni uongozi tosha
Putin anaongoza Urusi miaka 25 na urusi ni nchi tajiri, hajaoa. Elon musk anaongoza makampuni makubwa 6 Duniani na hajaoa na wengine wengi tu. Ama kisa watu kama Yerico Nyerere wameoa ndio unataka watu kama wale wawe viongozi wa nchi kisa wameoa?Japo mimi sijaoa na sitaoa ila kuoa na kumiliki mke na familia sio jambo dogo, ni watu wenye upeo wa juu wa kujua namna ya kuweka hali yoyote katika msawazo / balance , na mara nyingi wanafaa hata kuwa viongozi wanchi.