evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,989
- 9,948
- Thread starter
-
- #61
Mkuu hatuongelei masuala ya mademu wewe ni.punguwani nini .Kwani wewe umekuwa na demu mmoja tokea uzaliwe mkuu??!
Sawa MkuuMkuu tuachane na mavifungu ya biblia .
Hili suala lipo kisheria zaidi hususani kwenye masuala ya Mirathi.
Mimi naliangalia kidunia zaidi hao wanawake na watoto waliobaki, kama alikuwa hajaweka makaratasi (wosia) vizuri yanawezaleta mgogoro mkubwa kwa waliokuwa Hai.
Mifano ipi mingi tu
Nadhani na wewe ungekuja na fungu ili kunionesha kuwa sisomi biblia vizuriSoma biblia vizuri kijana. Uelewe. kama ilivyo kwenye biblia hakuna amahali paliposema oa wanawake zaidi ya mmoja hakuna pia maandiko yanayosema usioe mwanamke zaidi ya mmoja . Maandiko hayako direct hivyo ,, wewe unaelewa nini kuhusu kuzini?
Kwa mujibu wa taratibu za kikristo ni makosa
Wote wa kwake hakuna shida....ni mapokeo toka torati abraham alikuwa na wawili baba wa imani, yakobo alikuwa na wa 4 lea raheli zilpa biha ....mengine yalifuatia kwa utashi ya watawala wa kanisa kwa controls zao sio bibiliaKuna mama amejitambulisha yeye ndiye mke halali wa marehemu ndugai tena walifunga ndoa ya kanisani. Anaitwa Stella Mmasi ,halafu kuna Dr fatma Mganga
Halafu moderators acheni dictatorship ya kuondoaondoa nyuzi zangu
=================
Stella Mmasy, mke wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai amefunguka kuhusu kifo cha mumewe na taratibu za mazishi zinavyoendelea.
View attachment 3435291
Kuna ukristo na kuna mira za wazungu walio sambaza ukristo.Nimuonee wivu kwa lipi sana sana namshangaa mkristu mwezangu huyu hii si sawa
Wazungu hawajasambaza ukristo tu wamesambaza hadi sheria zinazotumika kwenye mahakama zetu.Kuna ukristo na kuna mira za wazungu walio sambaza ukristo.
Biblia haijakataza kuwa na wake wengi.
Kwa kesi ya ndugai kwa sheria ya ndoa ya tanzania ya mwaka 1971 kwa kuwa alikwishafunga ndoa ya kanisani mwaka 1988 na mke wa kwanza stella,huyu aliyekuwa naye mwingine dr fatma.mganga alikuwa ni kimada na sio mke.Wote wa kwake hakuna shida....ni mapokeo toka torati abraham alikuwa na wawili baba wa imani, yakobo alikuwa na wa 4 lea raheli zilpa biha ....mengine yalifuatia kwa utashi ya watawala wa kanisa kwa controls zao sio bibilia
Atakayemuacha mke wake.... Je Asipomuacha na akaoa mwingine huku yupo na yule wa kwanza?Si nimeshakupa andiko hapo mtumish
Vipi na wewe ulikuwa unataka uwe mke wake wa TATU acha wivu wa kishamba kama alikutosa wewe kubaliana na hali tu?Kuna mama amejitambulisha yeye ndiye mke halali wa marehemu ndugai tena walifunga ndoa ya kanisani. Anaitwa Stella Mmasi ,halafu kuna Dr fatma Mganga
Halafu moderators acheni dictatorship ya kuondoaondoa nyuzi zangu
=================
Stella Mmasy, mke wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai amefunguka kuhusu kifo cha mumewe na taratibu za mazishi zinavyoendelea.
View attachment 3435291
Kwa mujibu wa sheria yetu ya ndoa ni makosa ndugu yangu kama umeoa au unategemea kuoa tafadha embu jaribu kuipiitia uisome na kuielewa vizuri sheria yetu ya ndoa nimekuambatishia kifungu namba 11 cha sheria yetu ya ndoa ambayo inatoa katazo hilo.Kwa taratibu za sisi watu weusi sio makosa ndio ujie sasa
AziniAtakayemuacha mke wake.... Je Asipomuacha na akaoa mwingine huku yupo na yule wa kwanza?
Mkuu sio wivu wala nini ni suala la kuelimishana na kujifunza hususani kwa sisi wanaume wakristo tusipende kucheza na kufunga ndoa kanisani kwani pindi ikitokea umekufa tunawezaleta mtafaruku kwa wake ambao tutakaowaacha Hai kwani Sheria ipo na imeweka miongozoVipi na wewe ulikuwa unataka uwe mke wake wa TATU acha wivu wa kishamba kama alikutosa wewe kubaliana na hali tu?