Kumbe Marehemu Ndugai Alikuwa na Wake Wawili?

Atakayemuacha mke wake.... Je Asipomuacha na akaoa mwingine huku yupo na yule wa kwanza?
Kwa sisi wakristo sheria hairuhusu mke wa kwanza kama umefunga naye ndoa ya kikristo anawezakwenda mahakamani na kuvunja hiyo ndoa yako nyingine kwani anaweza kukataa kuachwa au akitaka kuachwa akadai fidia kubwa usichukulie kirahisi mkuu ndo ni suala la kisheria pia kwa hiyo mkuu nakushahuri tafuta sheria ya ndoa ya tanzania uisome utajifunza kitu embu soma hiko kifungu hapa chini nimekuambatishia

Wanabodi nimepatwa na kigugumizi kidogo nilipoona mahojiano kati ya mwandishi wa Global Publishers akiwa msibani nyumbani kwa marehemu Spika Mstaafu NDUGAI huko Dodoma akihojiana na mke wa NDUGAI aliyejitambulisha anaitwa Stella Mmassy aliyesema walioana mwaka 1988 huku akidai ndoa Yao ni ya mke mmoja pia hana taarifa kuwa mumewe alikuwa na mke mwingine, habari hiyo ipo Facebook. Pia hukohuko Facebook nimeikuta taarifa ya Waziri Lukuvi akimfariji mke wa marehemu Dr Fatuma Mganga ambaye siku zote nilimtambua kuwa ni mke wa marehemu Spika Mstaafu NDUGAI. Tafadhali tujuzane zaidi kuhusu swali husika
 
Mwacheni Mzee wa watu alale salama. Kuoa wanawake wawili haijakatazwa kwenye maandiko. Hata manabii walioa zaidi ya mmoja.
 
Ubaya upo kwani alimtenga mmoja hakuwahi kumtambulisha wakati ndiye mke halali kwa sisi wakristu yeye alikuwa anazunguka na kimada tu Dr fatma.mganga hadi akajifanya ndio mke wakati kumbe sio mke halali
Pengine aliona asifuate mafundisho ya Papa Paul aliyewataka Wakristo waoe mke moja wakati Yesu hakusema hayo, lakini pia watu waliokuwepo wakati wa Yesu na kabla yake wali oa wake wengi na yesu hakusema kama ni chukizo.
 
Sio kufuata maneno ya papa, aliamua kabisa kuivunja sheria ya ndoa ya tanzania ya mwaka 1971
 
Ubaya upo kwani alimtenga mmoja hakuwahi kumtambulisha wakati ndiye mke halali kwa sisi wakristu yeye alikuwa anazunguka na kimada tu Dr fatma.mganga hadi akajifanya ndio mke wakati kumbe sio mke halali
Sema kimeumana
 
Mkuu nilikuwa nahoji kuhusu uzinzi..
 
Kwa hiyo kama mwanamke nifunga nae ndoa mbele ya safari aka badilika tabia ni nyamaze tu hiyo ngumu lazima nivute jiko jipya nipate amani ya moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…