Mwanamke mmoja mama mzazi tuKuna mama amejitambulisha yeye ndiye mke halali wa marehemu ndugai tena walifunga ndoa ya kanisani. Anaitwa Stella Mmasi ,halafu kuna Dr fatma Mganga
Halafu moderators acheni dictatorship ya kuondoaondoa nyuzi zangu
=================
Stella Mmasy, mke wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai amefunguka kuhusu kifo cha mumewe na taratibu za mazishi zinavyoendelea.
View attachment 3435291
🚮Kwa mujibu wa sheria yetu ya ndoa ni makosa ndugu yangu kama umeoa au unategemea kuoa tafadha embu jaribu kuipiitia uisome na kuielewa vizuri sheria yetu ya ndoa nimekuambatishia kifungu namba 11 cha sheria yetu ya ndoa ambayo inatoa katazo hilo.
View attachment 3435410
Unatumia takwimu gani mkuuWanawake ni wengi sana, and truly wanatuhitaji coz tumepungua sana. Having one woman isn't ideal.
DUuAlimpora kutoka kwa nani,ninasikia huyu Dr Fatima alikuwa Dr wa wilaya Kongwa na ndiko walipokutana.Pia Ndugai mpango wake ilikuwa kumrithisha jimbo la Kongwa.Kama Sita alivyofanya kwa Magreath Sita.
Ulitamani uwe Mme wa tatu ?Kuna mama amejitambulisha yeye ndiye mke halali wa marehemu ndugai tena walifunga ndoa ya kanisani. Anaitwa Stella Mmasi ,halafu kuna Dr fatma Mganga
Halafu moderators acheni dictatorship ya kuondoaondoa nyuzi zangu
=================
Stella Mmasy, mke wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai amefunguka kuhusu kifo cha mumewe na taratibu za mazishi zinavyoendelea.
View attachment 3435291
Hilo jiko umevuta kwa misingi ipi? Linatambulika ? wengi hamna ndoa zaidi ya vimada .Kwa hiyo kama mwanamke nifunga nae ndoa mbele ya safari aka badilika tabia ni nyamaze tu hiyo ngumu lazima nivute jiko jipya nipate amani ya moyo.
Mbona humuongelei Yesu ambaye ndiye Nguzo ya Ukristo yeye hakuoa kabisa, kwa nini uchukulie Adam usichukulie Yesu?Siyo tu kuwa na mke mmoja. Hata kuchepuka tu ni kwenyewe dhambi.
Adamu + Eva = ndoa ya Kikristu
One man + one wife
Huyo si askofu kwani Ndugai alikuwa askofu au mbunge?Ni fungu gani katika biblia linakataza mkristo wa kiume kuwa na wake Zaidi ya Mmoja? Aliyekatazwa katika ukristo kuoa mke zaidi ya Mmoja ni Askofu peke yake kutokana na majukumu yake,naona hapa wazungu walisahau kupaedit wakati wanaandaa biblia yao ya mchongo.
1 Tim 3:2-3
Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha; si mtu wa kuzoelea ulevi, si mpiga watu; bali awe mpole
Njoo na wewe na fungu lako lenye kuzuia mkristo wa kiume kuwa na mke zaidi ya Mmoja
Haikuhusu chikia jembe kalimeUbaya upo kwani alimtenga mmoja hakuwahi kumtambulisha wakati ndiye mke halali kwa sisi wakristu yeye alikuwa anazunguka na kimada tu Dr fatma.mganga hadi akajifanya ndio mke wakati kumbe sio mke halali
Mkuu Wewe naye akili zako ziko na shida some where,hebu soma uelewe nilichoandikaHuyo si askofu kwani Ndugai alikuwa askofu au mbunge?
Na Kama sio misilam basi fuata dini za mababu zinarihusu na mahakama inazitambua oa hata kumi Kama MswatNi ajabu kwa kweli tunachukulia poa tu ila haya mambo yanaleta mitafaruku kwenye mambo ya Marathi mmoja wapo akifariki.
Nina ushuhuda wa mzee mmoja alipovuta aliibuka mwanamke ambaye kumbe alikuwa na ndoa ya kanisa na marehemu,
Kwenye mstakabali wa kisheria hususani sheria za Marathi hili suala linawezaleta utata.
Wewe mwanaume mkristo unafunga ndoa ya kikristo na mwanamke halafu unamtekeleza kienyeji bila talaka, unatafuta.mwanamke.mwingine mnaishi mnajenga maisha watu wasiokuja zamani wanajua huyo ndio mke wako.
Mnakuwa na mali mwanamke anamuamini mume wake anamuachiq anaandikisha mali kwa jina lake.
Mwanume huyo akifa yule mwanamke mkristo aliyeachwa kienyeji anakuja kuibuka hapo anadai mali zote.zenye jina la huyo mwanaume kwani yeye ana cheti cha ndoa cha kanisani na anapewa wakati hata hakushiriki kuzichuma.
Hili suala msilichukulie kirahisi linaweza leta.utata mkubwa sana .
Kula mbususu mbalimbali hata ikiwezekana kuzaa na wanawake mbalimbali inakubalika ila kwenye kuoa kiholela kwa wakristu ni hatari.
Tatizo watu wanachukulia sifa kuwa na wanawake wengi (mitala) hili suala kisheria halina shida sana kwa waislamu kwani uislamu unaruhusu ndoa zaidi ya moja.
Ila ukristu hairuhusu na hata sheria ya ndoa ya tanzania inatambua msimamo huo wa kanisa
. Ukishafunga ndoa ya kanisani ni suala moja nyeti sana ukizamiria kumuacha huyo mwanamke jitahidi umpe talaka rasmi mahakamani la sivyo anaweza kuja kuibuka wakati umekufa akaleta.mtafaruku