Kumbe Mke wangu ana mume wake wa kazini!

Namna pekee ya kuishi na mkeo muda mrefu bila kuibongonyola afya yako ya akili ni kuangazia umuhimu wake nje ya ngono.
(Mf uzao, utunzaji nyumba na lishe, msaada ukiumwa hasa maungoni, mahusiano/nadharia za kijamii, mshirika wa kuamini)
Kiukweli, mke hajawai kuwa na mbadala.(ni bahat mbaya lakin hakuna namna).
Njia zote mbadala ni self destruction
Katika hali ya utimamu hatuwezi kujadiri kuoa au kutokuoa bali
......Namna ya kumpata/kumtengeneza RAFIKI wa kuoana nae.
......umuhim wa Wajibu kabla ya haki kwa sabab ndoa hushikiriwa na upendo na si sheria.
....Marriage is the manifestion of love, inherently maintaining the rule of reprosity' ....
Madhira yote kwenye ndoa uzaliwa na UBINAFSI!
....GIGO[Gabbage In, Gabbage Out], tuzijaze bongo zetu uchanya ili tusihathiri afya zetu za akili.
Wivu mwingi ni kipimo cha gharama nafuu kujua huwajibiki ipasavyo kuangazia mambo ya msingi kwa jinsia yako!
...Wanaokataa ndoa ni adui dhidi yao wenyewe. (poor self denial), ni watoro wa kuwajibika dhidi yao na jamii yao.
WIIVUUUU, WIIVUU MAMA...
 
Kama hautaki kushea utaacha wengi.
 
Tunaikataa ndoa na mauzauza yake yote.

Hivi ni jambo gani hasa analoweza kunufaika nalo mwanandoa ambalo asiye mwanandoa hawezi kulipata?
 
HATIMAYE MKURYA WA KIAGATA KAFIKIWA!
Mpe begi lake akaishi na mme wake iwe ni kazini kwao ama kokote wapendako.
 
Mnyonge
 
Imeisha hiyo
 
Ukifa ataendeshaje familia na umeamua awe wa nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…