Kumbe Mke wangu ana mume wake wa kazini!

Usichukie hatua yoyote maana hatua ya kwanza tu ulishakosea!, hukupaswa kumuuliza!.
 
Mueleze mkeo ,kama kazi imesaidia kumpata mume mwenza basi wewe ukae pembeni asikuchoshe.yapo maisha mengine baada ya kuoa mke mfanyakazi,ni Bora mara 10000 kuoa mama wa nyumbani kuliko hawa wa maofisini,huko maofisini wanakumbatiwa ,wanabusiwa,wanatanyiwa vitu bila ridhaa Ya😵a mama wa nyumbani hakika utanikumbuka.
 
Haya mambo mimi mwenyewe ni Shahidi. Makazini Kuna kila aina ya vurugu. Imagine wanakaa nae mkeo tangu 1:30 hadi 9:30 au zaidi na sio muda wote wanakuwa bize na kazi. Chukulia mfano ni mwalimu(hawa ndio wenye huo mtindo kwa kiwango kikubwa)
Mimi lilishanikuta jambo mzee tena sio zamani kiviile!😀
"Ni utani tu wa kazini"
 
Ha haaa kuna mahali unajidanganya. Hainaga muongozo
 
Kazini kuna baltazer, kuishi ni kazi sana
 
Hakuna Cha hatua wa maofisini lazima waliwe upende au usipende
 
Tunaomba Sana Usitugombeze Dogo
 
Bora mama wa nyumbani ambae sio msomi.
 
Hadi hapo potezea kwanza, ila chunguza mwenendo wake. Na wewe usiwe na mchepuko
 
Kyagata on one two
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…