KWENYE PESA HAKUNA ADUI
JF-Expert Member
- Dec 16, 2014
- 458
- 649
Duh!!! Punguza chuki mkuu,uishi miaka mingi.Nyie ndio hata mkiitwa nyani na wazungu mnabaki mnachekacheka kwakua ni matajiri Sasa Mimi huo ukondoo naukataa aiwezekani watanzania wenzetu wateswe kama GABACHORI kashindwa biashara afunge kampuni kabla sijawa rais
Je hao wanaolipwa hizo pesa wana alternative ? Je Serikali imetoa shughuli yoyote ili watu wapate ujira..., Unadhani ni wangapi hata hio elfu 4 hawapati pamoja na kupiga madeals ya hapa na pale...Huyu anatesa sana Watanzania imagine.
Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani buku nne
Hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu anaamka asubuhi anaenda kuifanya aisee Mimi siwezi fanya huu ujinga
Tufungue ili tukuelewe mkuu.Sikati kazi, au kufundisha watu kuchagua kazi. Ni uhakika unaongea usichokijua. Ni basi umasikini tu na vijana tunaumia sana sababu ya usimamizi mbovu sana wa serikali yetu.
Sikia mule kwenye ivyo viwanda vya vya MO na bahatesa ni JEHANAMU. Huwezi kunielewa sababu itakuwa hujawahi kubeba hata tofauli wewe.
Bahati nzuri nishawahi kupita kwenye ivyo viwanda vya baharesa na MO buguruni na extetnal..
Wewe nina uhakika wa 100% hujawahi beba hata kiroba hatuwezi ongea lugha moja. Mtoa mada yuko sahihi sana.
Hata takataka huwa ni biashara za watu.....kutwa wako jalalani...Yaani hii sio kazi ni takataka
JiajiriHuyu anatesa sana Watanzania imagine.
Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani buku nne
Hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu anaamka asubuhi anaenda kuifanya aisee Mimi siwezi fanya huu ujinga
Boss hizo issue za kulipwaa 4000 kwa siku kwa daily worker kwa viwanda vya Mo sio kweli huyu muhuni kaleta tu uzi wa kibaguzi,Pili hakuna pesa inayotosha...wakati inalalamikiwa 4K ya Mo ...lakini pia kuna Binadam wanalalamikia malipo ya six figures.Isiwe kisingizio eti maisha laini wangekuwa wavivu kiasi hicho hata hiyo kazi wasingepeta mkuu.Tukemee kwa nguvu zote watu walipwe vizuri kulingana na kinachozalishwa asee
Fungua wewe kiwanda ulipe elfu arobaini kwa siku,ili upate swawabu kwa yesu,Huyu anatesa sana Watanzania imagine.
Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani buku nne
Hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu anaamka asubuhi anaenda kuifanya aisee Mimi siwezi fanya huu ujinga
Huna akiliWe ni kijakazi wa huyo GABACHORI sio
Huyu anatesa sana Watanzania imagine.
Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani buku nne
Hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu anaamka asubuhi anaenda kuifanya aisee Mimi siwezi fanya huu ujinga
Hiyo shs 4000 ni kwa kazi gani? Pengine ni kazi za makubaliano ambazo kianzio ni hiyo elfu 4 na unapofanya zaidi na hela inaongezeka,ukiwa mvivu utaondoka na hiyo elf4.Huyu anatesa sana Watanzania imagine.
Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani buku nne
Hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu anaamka asubuhi anaenda kuifanya aisee Mimi siwezi fanya huu ujinga
Umepigwa msumari unashindwa kujibu hoja!We ni kijakazi wa huyo GABACHORI sio
Alafu kila siku watu wanamsema Sultan,kumbe aliwalisha vizuri tu Watumwa na kulala poa pia?Watumwa walikua wanalishwa vizuri na sehemu ya kulala na mahitaji yote sana ilo wawe na nguvu Sasa huyu GABACHORI yeye anawalipa elfu 4000 na Kila kitu wanajitegemea huu ni zaidi ya utumwa
Rejea comment yangu nimesema pengine mo hajui ila wasimamizi wakeBoss hizo issue za kulipwaa 4000 kwa siku kwa daily worker kwa viwanda vya Mo sio kweli huyu muhuni kaleta tu uzi wa kibaguzi,Pili hakuna pesa inayotosha...wakati inalalamikiwa 4K ya Mo ...lakini pia kuna Binadam wanalalamikia malipo ya six figures.
Serikali imeweka sheria ya kima cha chini kwa muajiriwa...Je unajua kinachofanywa na hao hao Watanzania wenzetu waliopewa jukumu la kusimamia hizo sheria??
Tunarudi pale pale issue sio Mo ..issue ni serikali na roho ya ubinafsi tulionayo Watanzania
Hadi ERoni umeamua kuvua MaskTembelea biwanda vyote unavyojua, utashangaa sana mkuu.
Mbona unatumia maneno machafu ya kibaguzi? Hivi wewe unadhani ndiyo una hatimiliki ya Utanzania kuliko Mo?
Mchango wa Mo kwenye Pato na uchumi wa Tanzania unalingana na wako wewe mkuu?
Jadili mambo kwa kuheshimu wengine na kuzuia hisia za chuki kukutawala.