Tetesi: Kumbe Mo Dewji analipa TZS 4,000 watu kwenye kampuni yake

We mjinga kweli hivyo alivyofanya sio kazi yake hiyo ni kazi ya serikali ambayo wananchi tunatoa kodi yeye anajipendekeza Ili aonekane anawajali watu weusi kumbe anawasabahi
 
Unaachaa kuilaumu serikali kwa usimamizi mbaya wa resources zilizopo Tanzaniaa unamlaumu mfanyabiashara kwa lugha ya kibaguzi baada ya kushiba ugali maharage kwa shemeji yako ukiwa na deni kubwa loans board.
Tafuta Mali zako boya wewe acha kulamba miguu ya wahindi utazeeka na umasikini
 
Huo mpunga una panda kila siku mwaka mzima ?
 
Serikali haijajitutumua kujiunga kwenye the giving pledge.

Mimi criticism yangu kwa Mo imejikita kwenye hipocrisy yake ya ku sign the giving pledge na kina Bill Gates, halafu kuwalipa wanaomfanyia kazi $1.5 kwa siku.
Umenifanya niirudie kuisoma upya barua yake.

Ameelezwa Charitable yake yeye ni kusapoti wananchi kuchimba visima vya maji, kujenga shule, kutoa msaada wa vyandarua, unga, scholarships na mazaga mengine ya kuwasaidia wagonjwa wenye ngoma.

Ni swala la donation na namna anaweza kuwa sehemu ya kuisadia jamii kwenye changamoto mbalimbali kupitia nafasi yake ya kiuchumi aliyonayo.

Sijajua sera za hiyo giving pledge zipoje kama zina hitilafiana na uendeshaji wake wa biashara au la.

Pengine hiyo giving pledge inawahusu zaidi watu ambao wako kwenye circle ya 20,000 wanaotambulika rasmi ambao hawalipwi hayo malipo.


Kwasababu hao unaotaka walipwe beyond $1.5 ni vibarua ambao sio wafanyakazi wa MO.

Yani mimi kazi yangu ni kupangisha nyumba sio ku monitor wapangaji wanawalisha nini watoto wao.

Kwangu mi naona ndio inaonekana hivyo.
 
Ni unafiki kukataa kuwalipa wafanyakazi a living wage, halafu baadaye unazunguka unajitutumua kuwa eti unawasaidia masikini hao hao ambao hujawalipa a decent wage for their work.

Walipe vizuri tu kabla ya kujitutumua unasaidia masikini ili hata ukienda kusaidia masikini tujue unasaidia masikini kweli, sio unawapiga watu kabobo ya kusaidia masikini kumbe hiyo hela ulitakiwa kuwalipa watu hao hao mishahara yao.
 
Ila hapo kwenye ubaguzi umeenda mbali bila sababu
 
Kwani unskilled workers hawana mahitaji!? Hizo kazi wangewapa skilled basi
 
Ni Mtanzania muhindi. Mbona Tanzania kutaja kabila lako ndio ndio zetu sana. Punguza uchawa bwana!
 
Wewe hata huyo house girl utakuwa humlipi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…