Tetesi: Kumbe Mo Dewji analipa TZS 4,000 watu kwenye kampuni yake

Ila mtu huyo huyo akilipwa 120k kwa mwezi utaona sawa?
Au akilipwa 200k yakaingizwa Makato ya serikali akaomdoka na 130k ni sawa?
 
Kama tunakunywa jasho la Watanzania wenzetu basi afanye Mo extra buku alipe hao binadamu 10,000 kwa siku.
Halafu Pepsi au Coca-Cola inauzwa shillingi ngapi na vibarua katika hizo kampuni wanalipwa shillingi ngapi??
Ili tu kukuonyesha kwamba haya mambo yanatokea kila Kona na Kampuni zote kubwa zina uwezo wa kuhonga na kuficha madhaifu...; Na wala hawataacha kufanya hivyo iwapo wana Lawyers wa Kushinda Kesi na Media za Kuspin the issues...

Now kumbuka hawa sio kwamba walijipeleka wenyewe bali walikuwa intimidated na mpaka kuuliwa....; Moral of the Story; The Beast only recognizes Profits that is the Bottom, Middle and Top Line....

 
Mbinu tuu za kibepari hizo kukwepa lawama
 
Sh 500 kwa kila saa moja utayo ongeza 😄 imekaa poa sana hiyo
 
"Alieshiba hamjui mwenye njaa",bila shaka unamahala pako pakujiingizia kipato kinachokidhi mahitaji yako ya kila siku,
Hayo ya watu wengine kunyonywa sio shida zako!
 
Kuna meneja masoko ambaye alisema gari moja la Mo linalopelekwa mikoani, mkiongeza Tsh 50 tu kwa kila bidhaa na mkafanikiwa kuiuza mnapata pesa nzuri timu nzima, kuanzia dereva mpaka wapakuaji. Sijui kama alidanganya.
 
Jibu hoja bana acha kutetea
Ebu twambie kibarua kwa sku anatakiwa kuripwa shingp, sheria inasemaje

Inawezekana familia yake haijaajari mtu ata mmoja ila haiondoi hoja yake

Na kua muajiri mkubwa Tz sio tiket ya kuripa vibarua ujira mdogo na usioendana na sheria za ajira

Huwez somesha mtoto kwa shiling 4000 ilo ni pesa ya kula na kujikimu kwa sku ili kesho apate nguvu ya kurudi kazn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…