Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
Ni masiku machache tu nimeanza kuweka maudhui katika mitandao ya kijamii, lakini napokea jumbe za wadada hadi naogopa.
Nilikuwa na account ya FB muda mrefu tu ambayo ina jina linalo endana na maudhui yangu japo Nilikuwa natumia kikawaida tu, ina marafiki kibao ambao tunafahamiana.
Baada ya kuanza rasmi kuweka maudhui nikaipitia upya account yangu ya Instagram ambayo niliifungua kwa jina moja na hiyo ya FB, Pia nikafungua account ya Ticktock kwa jina lile lile la hizo account nyingine.
Maudhui yangu yanalenga mapenzi katika hali duni, yaani kama kijana wa mtaani ambae ameachwa kisa ufukara, au anapendwa sana na mwanamke mwenye hadhi wakati hana maisha, na maudhui ya aina hiyo.
Nimeanza kuweka maudhui hata mwezi haujafika, peji zangu hazijapata ukubwa wowote lakini huko kwenye box la Ujumbe sasa! Napokea jumbe za wadada kila siku ambao tunafahamiana na ambao siwafahamu, wote kila nikichart nao maongezi yao yanalenga mapenzi (ngono) wengine wapo kwenye ndoa kabisa hadi nashangaa na kuogopa pia.
Kwa vile natafuta jina/wafuasi huwa najisemea ngoja nichart nae huyu pengine ana kitu cha kuniongezea, lakini baada ya majibizano kidogo unasikia 'Wifi hajambo?' Nikisema hayupo mjadala unafunguliwa rasmi.
Nimepata majibu sasa kama mastaa (Wakina j melody, ndaro, mboso nk) wangekuwa wanaongea na watu kupitia peji zao Sasa hivi ingekuwa hawana vichwa huko daaslam.