Imenilazimu kujiunga huko japo sikuwa najua hata kutumia mwanzo, kuhusu challenge siwezi kufanya za wengine mwenyewe nishaanza kupata watu wa kufanya challenge video zangu.Kumbe upo hadi Ticktok, usiniambie na wewe unafanyaje zile challenge zao😁😁😁🙌
Ameshakuwa tajiri sasa mademu wa facebooka wanaruka nae 😂Haha huwa nikiona ID yako nakumbuka enzi zile ukiitwa kijana masikini
😀
🤣🤣🤣🤣🤣 jf ilinifundisha kufake maisha.Haha huwa nikiona ID yako nakumbuka enzi zile ukiitwa kijana masikini
😀
Nitajie akaunti yako nikakupe like hukoImenilazimu kujiunga huko japo sikuwa najua hata kutumia mwanzo, kuhusu challenge siwezi kufanya za wengine mwenyewe nishaanza kupata watu wa kufanya challenge video zangu.
facebook hamna mademu hao ni madanga utasikia "sasa kakaangu bundle limeisha niungie hata la 2000"Ameshakuwa tajiri sasa mademu wa facebooka wanaruka nae
Huyu si kipanya...??Mademu wameanza kunishobokea kwenye soco modiaView attachment 3291421
😂😂😂😂😂 🖐🤚 🖐🤚 🖐🤚Ila tajiri unajishusha brand ujue tajiri hana baya tajiri haongei sana hapo ungeandika:
"Nashobokewa mitandao DM zimejaa"
🙂
Moja ya kazi zake:Nitajie akaunti yako nikakupe like huko
Siwezi kufanya hivyo kwa sasa.Screenshot tuone
haha mtandao wowote kama unajua umo for fun:jf ilinifundisha kufake maisha.
Huyu ni mzushiScreenshot tuone
Tusubirie hadi lini sasa, make ushatutamanisha kuona inbox 999+Siwezi kufanya hivyo kwa sasa.
Uoga tu ndiyo maana ukatoa ile picha yako kwenye profilehaha mtandao wowote kama unajua umo for fun:
~usiweke jina lako
~usiweke picha yako
~usiweke tarehe halisi ya kuzaliwa
~usiweke eneo ulipo
~usiweke namba za simu labda kama lazima mfano, whatsapp,telegram
Wewe ni hatari😁😁😁😂😂😂🤣😂😂😂😂 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu utaniua kwa kucheka.
Thubbutuu....Nitajie akaunti yako nikakupe like huko
haha bora uoga maana "usalama wako mtandaoni ni jukumu lako"Uoga tu ndiyo maana ukatoa ile picha yako kwenye profile