Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
- Thread starter
- #41
Sawa mkuu ilimradi uzushi wangu hauna madhara kwa wengine.Huyu ni mzushi
Sawa mkuu ilimradi uzushi wangu hauna madhara kwa wengine.Huyu ni mzushi
Hakika mkuuhaha bora uoga maana "usalama wako mtandaoni ni jukumu lako"
😁😁😁basi chai hiiThubbutuu....
Nitakapokuwa tayari kufanya hivyo, sijuwi ni lini.Tusubirie hadi lini sasa, make ushatutamanisha kuona inbox 999+
😂😂🤣🤣😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 ni hatari ila sio kwenye vitaWewe ni hatari😁😁😁
Fans wako tuna kiuNitakapokuwa tayari kufanya hivyo, sijuwi ni lini.
😄😄😄Wapi nimeandika wananizimia mkuu?
Leta mandazi😁😁😁basi chai hii
Wewe n mshamba....Jichanganye sasa wengi wao ni madumeNi masiku machache tu nimeanza kuweka maudhui katika mitandao ya kijamii, lakini napokea jumbe za wadada hadi naogopa.
Nilikuwa na account ya FB muda mrefu tu ambayo ina jina linalo endana na maudhui yangu japo Nilikuwa natumia kikawaida tu, ina marafiki kibao ambao tunafahamiana.
Baada ya kuanza rasmi kuweka maudhui nikaipitia upya account yangu ya Instagram ambayo niliifungua kwa jina moja na hiyo ya FB, Pia nikafungua account ya Ticktock kwa jina lile lile la hizo account nyingine.
Maudhui yangu yanalenga mapenzi katika hali duni, yaani kama kijana wa mtaani ambae ameachwa kisa ufukara, au anapendwa sana na mwanamke mwenye hadhi wakati hana maisha, na maudhui ya aina hiyo.
Nimeanza kuweka maudhui hata mwezi haujafika, peji zangu hazijapata ukubwa wowote lakini huko kwenye box la Ujumbe sasa! Napokea jumbe za wadada kila siku ambao tunafahamiana na ambao siwafahamu, wote kila nikichart nao maongezi yao yanalenga mapenzi (ngono) wengine wapo kwenye ndoa kabisa hadi nashangaa na kuogopa pia.
Kwa vile natafuta jina/wafuasi huwa najisemea ngoja nichart nae huyu pengine ana kitu cha kuniongezea, lakini baada ya majibizano kidogo unasikia 'Wifi hajambo?' Nikisema hayupo mjadala unafunguliwa rasmi.
Nimepata majibu sasa kama mastaa (Wakina j melody, ndaro, mboso nk) wangekuwa wanaongea na watu kupitia peji zao Sasa hivi ingekuwa hawana vichwa huko daaslam.
Haha huyu ni jirani yangu msumbufu afu mlokole kama Setfree kila mda utaskia pepo shindwa, sasa tukifatana PMNatamani siku moja Nomadix na Binti Sayuni03 wafatane PM, ngoja kwanza huyu anaemsumbua sayuni apigwe kibuti kihele hele kkiiishe 😂
Sawa mkuu mjanja.Wewe n mshamba....Jichanganye sasa wengi wao ni madume
wote kila nikichart nao
Aweke hapa lasivyo anapiga porojo tuScreenshot tuone
Dalili za kukosa kazi za kufanya.😸Hivi wewe jamaa huyu mahondo sijui makonda, anakulipa hii promo unayumrushia kila siku
Mkuu hadi wewe unanisagia kunguni!Aweke hapa lasivyo anapiga porojo tu
Na wengine ni matapeli wameweka picha za warembo wanataka wamuingize kingi. Hao warembo ajaribu kuwapigia kwa video call aone, wengine wataingia mitini kwa sababu ni scams!Kwahiyo unajidanganya wanakuzimia?
Ulishasikia neno kudanga? Unajuwa maana yake?
Dogo nasibuHuyu si kipanya...??