Kumbe ndiyo maana mastaa wengi husema hawajibu ujumbe kwenye peji zao katika mitandao ya kijamii

haha mtandao wowote kama unajua umo for fun:
~usiweke jina lako
~usiweke picha yako
~usiweke tarehe halisi ya kuzaliwa
~usiweke eneo ulipo
~usiweke namba za simu labda kama lazima mfano, whatsapp,telegram
Uoga tu ndiyo maana ukatoa ile picha yako kwenye profile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…