Kumbe nyie ndo Mnatumaliza Nguvu za Kiume kwa Makusudi. Nimeumia sana

Nisijue kwa kipi? Na watu wa kuwaloga wapoo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We Dada nakuhitaji kwa shughuli ya faragha naweza kukupata wapi?
 
Japo umemaliza kwa uchungu sana ila Wanawake wanasemaga sisi wanaume ni ""Mbwa au paka shume"", kwa hiyo sisi ni wanyama hatunabudi kuishi nao tuu hivyo hivyo.. ila tujipende wenyewe wewee jipende tuu mwanaume
 

Hata ya mume wake au mzazi wake au rafiki, hapo kwenye rafiki ndio anaweza kuwa wa kike au wa kiume, na akiwa wa kiume ndio inawezekana ikawa hivyo unavyofikiria wewe au vyenginevyo pia.

Nakubali kuna unarahisi wa kumiliki vigari Zanzibar, ila sio "ndinga".

Tusifanye hast generalization kwa kesi chache tulizosikia au kuziona.
 
Looooh na hili naalitazama kwa macho 4 paaa kumbe ndo zao 🤮🤮🤮🤮🤮
😁😁😁Huyo maza mwenyewe alishinda uchaguzi wa ndani ktk Chama.
Baada ya vikao vya dodoma vilivyoisha juzi kati kanambia soon ataanza kusukuma ndinga.
Kuna sehemu nilimpeleka kula Moshi wa ubani mtu keshafukizwa huko pesa zitamtoka tuu.
Mkuu kama una watoto wekeza zaidi kwa watoto ukipata kimada piga sepa kuweka kambi utalishwa uchafuu
 
Tembelea Chukwani, kisauni, nyamanzi uone mambo ww mtu anakuagiza upeleke biriani ya buku nane kwa nauli ya buku kumi kama sio kulogwa ni nini au unataka ushahidi wa mapicha mkuu
 
Bro nasoma chuo bado mdogo Sana hapa nachukua baadhi ya experience za watu
 
Ni Bora serikali iwajengee minara mikubwa hawa jamaa wa kataa ndoa, serikal iache kujenga vyumba vya madarasa maana hata wanafunzi wakisomea nje hawatakufa
 
Jogoo hapandi mtungii ... Shenzi kabsaaa ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…