mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
We Dada nakuhitaji kwa shughuli ya faragha naweza kukupata wapi?Nisijue kwa kipi? Na watu wa kuwaloga wapoo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We Dada nakuhitaji kwa shughuli ya faragha naweza kukupata wapi?Nisijue kwa kipi? Na watu wa kuwaloga wapoo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tafuta chimbo lako acha kudandia ya watuAf mnaenda sana ujue zulu ni beach boy af wakishua fulani hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Af wewe mzungu fulani mdada usie na makuu wala majivuno upo vey sex [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] au zulu aniachie
Unanipataa hapa hapaWe Dada nakuhitaji kwa shughuli ya faragha naweza kukupata wapi?
Mbona umefunga pm mkuuUnanipataa hapa hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ipo wazi mbna.Mbona umefunga pm mkuu
Mbona natuma sms haziend ebu nitumie kwangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ipo wazi mbna.
Unguja mkuu.....
Kazi ninayo fanya ya bodaboda inanikutanisha na wengi haswa jinsia hii ya kike so nazijua siri za watu na nyumba nyingi zaidi ya vile unavyofikiri mkuu..
Mwanamke ni kiumbe hatari zaidi ya ufikiroavyo.
Kuna mmoja ni muheshimiwa:Alinambia hapa Unguja mwanamke anajifunza gari na hajui nani atamnunulia na lini but ana unauhakika atadrive tuu. 😊
😁😁😁Huyo maza mwenyewe alishinda uchaguzi wa ndani ktk Chama.Looooh na hili naalitazama kwa macho 4 paaa kumbe ndo zao 🤮🤮🤮🤮🤮
Tembelea Chukwani, kisauni, nyamanzi uone mambo ww mtu anakuagiza upeleke biriani ya buku nane kwa nauli ya buku kumi kama sio kulogwa ni nini au unataka ushahidi wa mapicha mkuuHata ya mume wake au mzazi wake au rafiki, hapo kwenye rafiki ndio anaweza kuwa wa kike au wa kiume, na akiwa wa kiume ndio inawezekana ikawa hivyo unavyofikiria wewe au vyenginevyo pia.
Nakubali kuna unarahisi wa kumiliki vigari Zanzibar, ila sio "ndinga".
Tusifanye hast generalization kwa kesi chache tulizosikia au kuziona.
Bro nasoma chuo bado mdogo Sana hapa nachukua baadhi ya experience za watu😁😁😁Huyo maza mwenyewe alishinda uchaguzi wa ndani ktk Chama.
Baada ya vikao vya dodoma vilivyoishwa juzi kati kanambia soon ataanza kusukuma ndinga.
Kuna sehemu nilimpeleka kula Moshi wa ubani mtu keshafukizwa huko pesa zitamtoka tuu.
Mkuu kama una watoto wekeza zaidi kwa watoto ukipata kimada piga sepa kuweka kambi utalishwa uchafuu
😅😅😅😅shuguli gani? Kuhesabu kura auDada nakuhitaji kwa shughuli ya faragha naweza kukupata wapi?
Ni bora ww ulieamua kuchukua experience ili baadae ujue namna ya kuishi nao.Bro nasoma chuo bado mdogo Sana hapa nachukua baadhi ya experience za watu
Umeongea Kwa uchungu sanaHapo mwisho umemeliza mwa machungu mmno Kama ile day mama anatangaza baba kasharudisha jezi
Tafuta chimbo lako acha kudandia ya watu
🤣🤣😂😂Mleta mada utafanya nihairishe mipango yangu ya ndoa huu mwaka ujue.....