Kumbe nyie ndo Mnatumaliza Nguvu za Kiume kwa Makusudi. Nimeumia sana

Kumbe nyie ndo Mnatumaliza Nguvu za Kiume kwa Makusudi. Nimeumia sana

Nisijue kwa kipi? Na watu wa kuwaloga wapoo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We Dada nakuhitaji kwa shughuli ya faragha naweza kukupata wapi?
 
Japo umemaliza kwa uchungu sana ila Wanawake wanasemaga sisi wanaume ni ""Mbwa au paka shume"", kwa hiyo sisi ni wanyama hatunabudi kuishi nao tuu hivyo hivyo.. ila tujipende wenyewe wewee jipende tuu mwanaume
 
Unguja mkuu.....
Kazi ninayo fanya ya bodaboda inanikutanisha na wengi haswa jinsia hii ya kike so nazijua siri za watu na nyumba nyingi zaidi ya vile unavyofikiri mkuu..
Mwanamke ni kiumbe hatari zaidi ya ufikiroavyo.
Kuna mmoja ni muheshimiwa:Alinambia hapa Unguja mwanamke anajifunza gari na hajui nani atamnunulia na lini but ana unauhakika atadrive tuu. 😊

Hata ya mume wake au mzazi wake au rafiki, hapo kwenye rafiki ndio anaweza kuwa wa kike au wa kiume, na akiwa wa kiume ndio inawezekana ikawa hivyo unavyofikiria wewe au vyenginevyo pia.

Nakubali kuna unarahisi wa kumiliki vigari Zanzibar, ila sio "ndinga".

Tusifanye hast generalization kwa kesi chache tulizosikia au kuziona.
 
Looooh na hili naalitazama kwa macho 4 paaa kumbe ndo zao 🤮🤮🤮🤮🤮
😁😁😁Huyo maza mwenyewe alishinda uchaguzi wa ndani ktk Chama.
Baada ya vikao vya dodoma vilivyoisha juzi kati kanambia soon ataanza kusukuma ndinga.
Kuna sehemu nilimpeleka kula Moshi wa ubani mtu keshafukizwa huko pesa zitamtoka tuu.
Mkuu kama una watoto wekeza zaidi kwa watoto ukipata kimada piga sepa kuweka kambi utalishwa uchafuu
 
Hata ya mume wake au mzazi wake au rafiki, hapo kwenye rafiki ndio anaweza kuwa wa kike au wa kiume, na akiwa wa kiume ndio inawezekana ikawa hivyo unavyofikiria wewe au vyenginevyo pia.

Nakubali kuna unarahisi wa kumiliki vigari Zanzibar, ila sio "ndinga".

Tusifanye hast generalization kwa kesi chache tulizosikia au kuziona.
Tembelea Chukwani, kisauni, nyamanzi uone mambo ww mtu anakuagiza upeleke biriani ya buku nane kwa nauli ya buku kumi kama sio kulogwa ni nini au unataka ushahidi wa mapicha mkuu
 
😁😁😁Huyo maza mwenyewe alishinda uchaguzi wa ndani ktk Chama.
Baada ya vikao vya dodoma vilivyoishwa juzi kati kanambia soon ataanza kusukuma ndinga.
Kuna sehemu nilimpeleka kula Moshi wa ubani mtu keshafukizwa huko pesa zitamtoka tuu.
Mkuu kama una watoto wekeza zaidi kwa watoto ukipata kimada piga sepa kuweka kambi utalishwa uchafuu
Bro nasoma chuo bado mdogo Sana hapa nachukua baadhi ya experience za watu
 
Ni Bora serikali iwajengee minara mikubwa hawa jamaa wa kataa ndoa, serikal iache kujenga vyumba vya madarasa maana hata wanafunzi wakisomea nje hawatakufa
 
Back
Top Bottom