Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
MmmmmhWakuu,
Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS?
Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720.
Kwa hiyo kwa mwaka Rais ana Milioni 720 ambazo atachagua atafanyia nini?
Hii pesa yote inapita kwenye wizara gani? And why is this a thing?
==============================================
View attachment 3180555
View attachment 3180558
Mkuu wa Mkoa anapewa ,Mkuu wa Wilaya anapewa pia zinaitwa hela za mchango Kwa jamii.Wakuu,
Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS?
Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720.
Kwa hiyo kwa mwaka Rais ana Milioni 720 ambazo atachagua atafanyia nini?
Hii pesa yote inapita kwenye wizara gani? And why is this a thing?
==============================================
View attachment 3180555
View attachment 3180558
Hakuna tatizo hiyo kitu ...bora kuwa na rais mzalendo mwenye akili tu ila akiwa kinyume na hapo basi atafanya ufisadi na upumbavu wa mabilioni ya dollar kama sasa anavyo fanya SamiaWakuu,
Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS?
Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720.
Kwa hiyo kwa mwaka Rais ana Milioni 720 ambazo atachagua atafanyia nini?
Hii pesa yote inapita kwenye wizara gani? And why is this a thing?
==============================================
View attachment 3180555
View attachment 3180558
Mkuu wa Mkoa anapewa ,Mkuu wa Wilaya anapewa pia zinaitwa hela za mchango Kwa jamii.
Mfano unakuta Rais kaalikwa au Kiongozi yeyote wa Serikali unategemea akigombea mchango atoe kwenye mfuko wake? Huko ndiko Kuna goli.la mama,Kuna zile hela Mwendazake alikuwa anagawa barabarani nk nk.
Mwisho hiyo ni pesa ndogo sana ni vile maskini mna shida sana kichwani mwenu.
Ngoja mumchague maskini mwenzenu Lisu huko tuone mtakavyoneemeka 🤣🤣
Haijafika 20k ni 8k tuu Mkuu bila kuitetea maisha hayaendi wewe tetea kina Lisu wa Amsterdam utatokaChawa wa Lumumba naona uko shift muda huu unatetea 20k yako ya kesho.
Saa 9 hii hata Samia mwenyewe kalala na familia wewe huko humu unabishana kumtetea.
Una kazi ngumu sana
Huyo dogo Abdul naambiwa shule alikua anaenda na maburungutu ya dolla anayaning'iniza mfukoni walimu wakawa wanamshangaa huyu dogo ana matatizo ganiHuu mwandiko unafanana na mwandiko wa Abdul hafidhi
Kam-challenge shangazi yakoNilitaka kuku-challenge lakini nilivyoona tu handle yako nikaishiwa nguvu
Adios!
Tanzania ni nchi ya ajabu Sana sanaWakuu,
Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS?
Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720.
Kwa hiyo kwa mwaka Rais ana Milioni 720 ambazo atachagua atafanyia nini?
Hii pesa yote inapita kwenye wizara gani? And why is this a thing?
==============================================
View attachment 3180555
View attachment 3180558
Milini 60 au bilioni 60?Wakuu,