Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
MmmmmhWakuu,
Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS?
Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720.
Kwa hiyo kwa mwaka Rais ana Milioni 720 ambazo atachagua atafanyia nini?
Hii pesa yote inapita kwenye wizara gani? And why is this a thing?
==============================================
View attachment 3180555
View attachment 3180558